Mkurugenzi Mbeya: Wafanyabiashara wanatumika tu!

Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Hivi umeacha lini kuvaa nepi?
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implenting its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstration which are engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.

Masaburi at work!
 
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu kuwa watakutana na mkono wa sheria.Watu zaidi ya 200 wamekamatwa huku watu 12 wakiwa wamejeruhiwa watano wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi,Polisi wawili wamejeruhiwa pia!

unajua hawa watu wanadhani watz bado wajinga..subirini tu vijiti alivosokomezwa gadafi mtavishuhudia sasa hivi
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

kaka umeloose point nini hii vurugu ni kati ya police na wamachinga siyo cdm na police. Naomba kukupa taarifa najua itakuudhi baada ya kukutana wanchinga na mbunge wao mby shwali. Tatizo ni serikali ya hako kajamaa ulikokataja kanapenda utemi wakati wa2 wa mbeya wa2 wa namna hiyo huwa hawapendi.
 
Mkurungezi kasema kweli
avatar34266_2.gif

Rtz,
Nakushauri usiendelee kutumia dawa ya kujichubua! Ona unavyozidi kuharibika mtoto wa kike. Utamkosa mchumba wako Rejao.
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implenting its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstration which are engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.

Crap! Wamachinga wanaandamana kuadi haki yao, na kama wameona tumaini ndani ya Chadema wanapoelezea hisia zao kwanini iyonekane wanatumiwa!
 
Kandoro na mkurugenzi wake ndio wanaotumika. Sasa wameshindwa kuongoza wanatafuta visingizio vya hapa na pale.
Huyu kandoro anachojua ni kujiuzia magari ya umma, hana lolote la kukumbukwa alilofanya tangu awe RC tabora, arusha, dsm, mwanza na sasa mbeya.
Na huyo mkurugenzi ndio hovyo kabisa hata watumishi wenzake wa jiji la mbeya hawamtaki.
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Hongera sana Bro.! Uwezo wa kutafakari = 0% Uwezo wa kuchambua hoja = -100%
 
Sasa hapo cdm wanakujaje mkuu? Kwani anayeongoza serikali ni nani? Maana kodi wanakusanya CCM na hao vijana hawakuwa hapo sababu ya cdm. Shughulikieni maswala nyeti ya wananchi maana nguvu inayokuja siyo ndogo, na si jeshi wala polisi wataoweza kuisimamisha.

hiyo nguvu inayokuja wewe na wenzako huko CDM ndo mnairatibu.Utawezaje kusema nguvu inayokuja ni kubwa haitaweza kuzuiliwa kama ww si MRATIBU?.Achen kuwatisha watu kwa machafuko.2015 mbali kwa vurugu hizi hamtafika huko.
 
Kwani hao wafanyabiashara si watu?

Kwanza anayetumika ni mwananchi anayetoa kura halafu hakuna outcomes.

Biashara bila mpangilio ni vurugu. Ni vema washanyabiashara ndogondogo wakafuata taratibu zilizowekwa kwa sehemu za kuweza kufanya biashara zao. Hii ya kupanga biashara zao hadi barabarani sio sahihi kabisa zaidi ni bugudha kubwa kwa watembeo kwa miguu na sio salama hata kwao wenyewe.
 
Mkurungezi kasema kweli

Ukweli upi? Mbona ameshindwa kuwataja wanaowatumia hao wamachinga! Wanakurupuka kutoa kauli bila kufanya uchunguzi wa kina!
 
Watahangaika sana, kweli CDM inawanyima usingizi, watimize wajibu wao waone kama kuna mtu atapambana na polisi. Kama wakiendelea hivi oooh CDM haya, kama umati ule niliouona kwenye taarifa ITV ni CDM basi CCM iache Mbeya ijitawale
 
hiyo nguvu inayokuja wewe na wenzako huko CDM ndo mnairatibu.Utawezaje kusema nguvu inayokuja ni kubwa haitaweza kuzuiliwa kama ww si MRATIBU?.Achen kuwatisha watu kwa machafuko.2015 mbali kwa vurugu hizi hamtafika huko.

kaka vurugu ni kati ya machinga na police aka manispaa naomba niendelee kukukumbusha.
 
Biashara bila mpangilio ni vurugu. Ni vema washanyabiashara ndogondogo wakafuata taratibu zilizowekwa kwa sehemu za kuweza kufanya biashara zao. Hii ya kupanga biashara zao hadi barabarani sio sahihi kabisa zaidi ni bugudha kubwa kwa watembeo kwa miguu na sio salama hata kwao wenyewe.

kaka unachosema ni sahihi hata mmachinga ukimkuta anasema wanipangie sehemu niitakayo nitakwenda bila shuruti. Lakini tatizo la watawala wanataka kuwaondoa wa2 kwa nguvu aka ubabe bila kuwaonesha wapi waende.
 
Back
Top Bottom