Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

Kitendo cha. Mkurugenzi wa Uchaguzi kinondoni kumika na ccm ni dhambi kubwa.
Amejitahidi Sana kuzuwia viapo vya Chadema, mpaka mabomu yamepigwa ndipo akatoa.
Kesho ukifanya lolote la kupindua matokeo utakiona cha Haramu kisivyoliwa.
Tayari mkuu
 
Katumbuliwa pamoja na kuwasaidia CCM kushinda kwa hila jimbo nzima la uchaguzi kweli tenda wema uende zako
 
Kitendo cha. Mkurugenzi wa Uchaguzi kinondoni kumika na ccm ni dhambi kubwa.
Amejitahidi Sana kuzuwia viapo vya Chadema, mpaka mabomu yamepigwa ndipo akatoa.
Kesho ukifanya lolote la kupindua matokeo utakiona cha Haramu kisivyoliwa.
Yametimia
 
CCM bana yaana alihariharibu February 16 2018 katumbuliwa leo February 16 2021 haha

Tarehe ya kukumbukwa sna hii
 
'Amelaaniwa mtu yule anaemtegemea binadamu'.
DED dhuluma uliyoifanya ktk jimbo lako dhambi ile itakutafuna wewe na kizazi chako maisha yenu yote.
maisha yako yakawe ya taabu, kusimangwa, kukimbiwa na kulaaniwa kila upitapo. maisha yako yakawe mafupi duniani na marefu na ya milele jehenam.
 
Back
Top Bottom