Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

"Nitakushangaa sana wewe ni Ccm na mimi niliyekuteua ni Mwenyekiti wa Ccm halafu umtangaze wa upinzani ndio mshindi, Nitakushangaa kweli kweli"
Utafikiri wao ndio wapiga kura? Ningependa kuwashauri vijana wa kinondoni jiepusheni kwenda magroup kwenye vituo vya kupiga kura ikiwezekana kila mmoja atoke kimpango wao ili Policcm wasipate kisingizio cha kusema mlikuwa mnaandamana
 
Wewe Kiswahili chako kinatia sana wasiwasi? Hivi Wewe ni Mtanzania mwenzetu kweli au ndiyo mmoja wa wale Mabaunsa mliokodiwa Gesti huko Uswahili mnaotokea nchini Kenya?
U Tanzania Au u Kenya unahusiana Nini na hoja yangu Au Rushwa umepewa??
 
Utafikiri wao ndio wapiga kura? Ningependa kuwashauri vijana wa kinondoni jiepusheni kwenda magroup kwenye vituo vya kupiga kura ikiwezekana kila mmoja atoke kimpango wao ili Policcm wasipate kisingizio cha kusema mlikuwa mnaandamana
Kesho kinuke tu
 
HUYO MKURUGENZ HUENDA AKAWA SEHEMU YA MABADLIKO YA SIASA ZA TZ, MAANA SI KWA UKUDA ULE.. KUNA WATU HAWAITHAMIN NCHI HATA KDOGO, MTU MZALENDO HAWEZ KUWA SOURCE YA UVUNJFU WA AMANI, MKURUGENZ WA KINO ACHUNGUZWE URAIA WAKE.
 
Wewe Kiswahili chako kinatia sana wasiwasi? Hivi Wewe ni Mtanzania mwenzetu kweli au ndiyo mmoja wa wale Mabaunsa mliokodiwa Gesti huko Uswahili mnaotokea nchini Kenya?
Peleka taarifa police kama unajua kuna mabaunsa waliokodiwa gest uswahilini acha unafiki huku mitandaoni kama umepewa talaka
 
Kwanza imeshamgharimu kwa maana kwamba kuna mwanafunzi wa Chuo Kikuu(Udsm)amefariki hivyo wale waliotekeleza mauaji hayo na wale waliokuwa wanafanya mambo kwa makusudi wakijua kufanya hivyo kunaweza kukaleta vurugu kama huyu Mkurugenzi damu hiyo haitawaacha salama.
 
Back
Top Bottom