Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

Watakuwa wanafanana majina kama ilivyotokea kwa yule meneja wa hotel.
Mkuu amewapitia jamani, anawafahamu.
 
Kama raisi alikua anafanya kazi kwa miezi minne na analala sa nane usiku ili kujiridhisha na hayo majina iweje sasa amteue mtu then atengue kabla ya kumuapisha?? Hii ilitokea pia kwa DC mmoja. Mbona kazi tunayo.
 
Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani Mara, Bi Hidaya Sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa kudaiwa kuwa ni kada wa ACT-Wazalendo.
dedss-png.365909


image-jpeg.365896

Nadhani huko sasa siko!

Chanzo: Taanzania Daima
Gazeti uchwara
 
Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani Mara, Bi Hidaya Sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa kudaiwa kuwa ni kada wa ACT-Wazalendo.
dedss-png.365909


image-jpeg.365896

Nadhani huko sasa siko!

Chanzo: Taanzania Daima
Ni sawa kuenguliwa!
Hii si serikali ya shirikishi, ccm wana haki ya kuunda team yao hasa ktk nafasi za uongozi na hizi nafasi zenye teuzi za kisiasa ni haki yao kutengeneza team itakayowasaidia!
Sasa wakichagua ukawa au wapinzani wengine halafu wakishauriana kususia utoaji huduma kama wanavyotoka bungeni itakuwaje?
Wapinzani wajipange kuunda serikali yao watakayoiendesha kwa mfumo wa mseto! JPM amepewa dhamana ya miaka 5 acha atumikie watanzania 2020 atapata mrejesho na nyie kumbukeni kuhifadhi hizi taarifa ili muwakumbushe watanzania wakati ukifika!
Ila Bi Hidaya apumzike tu!
Pole yake au alishahama chama, aje na kadi yake ya ccm labda atafikiriwa!
 
Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani Mara, Bi Hidaya Sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa kudaiwa kuwa ni kada wa ACT-Wazalendo.
dedss-png.365909


image-jpeg.365896

Nadhani huko sasa siko!

Chanzo: Taanzania Daima
Tulisikia kuwa wote walioteuliwa anawajua vizuri na ni wachapakazi. Sasa hapo sijui vipi.
 
Haya mzee wa kupitia jina mojamoja na kulala saa nane za usiku njoo huku maana nasikia upo uje utuambie huyu alipitia lile dawati la watumishi madili?

Mzee wa kamba ila ndo hivyo sisi tunaokupinga humu JF tupo imara na lazima kwetu uombe poo!! Msimu huu tumekuja kivingine na ni kizazi kingine! Vibaraka humu wanaomba poo kila kukicha!

Mwendokasi hoyeeee!
ahahaha
 
Jaman mkuu wetu amesema hakosei!! Huyo mnayemsema sio yeye wa kwake anaye kule tena ni mwanaccm mzuri nyie hangaiken na huyo wa ACT. Sifa moja ya kaz siku hiz no uzoefu no Vyeti, bali mwana ccm dam dam!!
 
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandidhi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya, baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi,

wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao, makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu, watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.

UMESAHAU NA WEWE MWENYEWE M'MBEYA NA UMEANDIKA UMBEYA 110%
 
Back
Top Bottom