Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

QUOTE="mzurimie, post: 16831670, member: 57388"]Tanzania daima ni gazeti la nani tena?[/QUOTE]
La viwavi wa kijani na njano pale lumumba.
 
Mtumishi wa umma ana haki ya kuwa Mwanachama wa Chama chochote, hakuna Kanuni wala Sheria ya Utumishi wa umma iliyozuia hilo. Labda mniambie kama kuna Waraka mpya wa 2016 umetolewa
 
"Maendeleo hayana Chama" JPM.

Baada ya Siku chache

"JPM amtumbua DED, kwa kudaiwa ni kada wa ACT wazalendo"

Je, huu sio UNAFIKI?

Huyu Rais wetu ana double standards sana.
 
Walishasema hawataki kukosolewa kwa sababu huwa hawakosei. Leave them alone.
 
Acha uongo, wapi imeandikwa sababu ni hivyo?
Mbona kama alifoji labda cheti hausemi, unakaa kutunga tu?

Nchi nyingibzilizoendelea nazo zinafanya hivyo ya kukuchunguza na kukutema hata kama umekaa ofisini siku moja...unazidi kuchunguzwa na ndio maana ukipewa kazi sehemu nyingi unakuwa under prob... Haswa pengi kwa miezi sita...

Huyo kama alijua kafoji..(nachohisi mie au kuna la zaidi) kikubwa angewahi kujitoa mapemaaaa
Waliokua wanamfatilia awakujua kama hana vigezo? Kwanini walimchagua kama hana vigezo? Yeye hana kosa waliomchagua ndio awajielewi.
 
Uongo na hisia.... hakuna mkweli hapo! Unamwabia mwenzako acha uongo.... na wewe unamalizia kwa kusema unahisi kafoji vyeti.
Uongo Vs Hisia..hapo patamu.


Eeeh ndio maisha ya nchi yetu, na humu ndani uongo mwingi umejaaa...so kwa yasiyonihusu najimwaga vyovyote nipendavyo
 
Waliokua wanamfatilia awakujua kama hana vigezo? Kwanini walimchagua kama hana vigezo? Yeye hana kosa waliomchagua ndio awajielewi.

Wapi umeona ndicho kilichotokea?

Ila wengine tunawajua pia waliokimbilia vyama vibgine kimya kimya juwahi kadi...ilipofika ccm bado wamo wakajinyamazia ka vile hawakufanya hayo.

Ila hawa wengi vyeti vinahusu haswaaaa
 
Salamu hizi zimemfikia ZZK popote pale alipo.Kama sababu ya kutenguliwa ni hii basi Zitto atajifunza kitu hapa
 
Back
Top Bottom