Mkurugenzi alivyoibua vituko kesi ya Kafulila

Mkurugenzi alivyoibua vituko kesi ya Kafulila

Kesi hii inaendelea, kuandika hivyo ni kuingilia uhuru wa mahakama...unaweza pia kushitakiwa ...comrade jihadhari sana na mambo ya mahakama, ni ushauri tu kwako.
Mkuu 1954...,
Mahakama inaweza kutumia pia viji maneno vya JF kufanya maamuzi yake...?
Au wewe una mpango wowote kuisaidia mahakama hiyo taarifa hizi ili ziweze KUMSAIDIA Hakimu kumaliza kesi mapema...??!
 
Wampeleke Jaji Lubuva kwenye hizi kesi ili awe anasikia madudu ya uchaguzi maana kila siku anaonekana kweye media akisema uchaguzi unaendeshwa kwa uhuru na haki. This is a shame! hata kwa maelezo tu, mimi si mwanasheria lakini naona wazi kabisa michezo michafu ambayo inafanywa na hawa Wakurugenzi.
 
Mkuu hivi unafikiri huyo Msimamizi kiburi anakitolea wapi?!!.Hapa jamaa kashinda lakini je,haki itatendeka?Muda ndio utakua mwamuzi wa mwisho..
Acha kumbwelambwela, unasema kashinda we ndio mwenyekiti wa tume ya uchaguzi uliomtangaza?
 
Wenje akuruhusiwa kuwasilisha hizo fomu za matokeo kama ushahidi. Inasemekana akuziorodhesa wakati wa madai kwa hiyo zikakataliwa kupokelewa!
KWA NINI ASIKATE RUFAA AKAZIORODHESHA HUKO MBELE YA SAFARI. JAPO SIO mjuaji wa sheria
 
Sasa ndio nimeelewa kwanini magari ya washa washa yalinunuliwa mengi muda mfupi kabla ya uchaguzi.
 
Kwa wakurugenzi wa aina hii hatuwezi kuendelea hata siku moja.
hawafanyi kazi zao, wapo hapo kuvuruga chaguzi tu sawa na ma_DC.
 
Mshindi ni Husna.
..tu huyo kafulila akatafute Udiwan....
 
CCM wenyewe demokrasia kwao ni kushinda tu,hii ni hatari kwa taifa kama wakiendekeza huu mchezo wa kubadili matokeo
hatutakuwa na taifa la kesho,hivi unawezaje kutangaza tofauti.
 
Wameliwaa hivihuyu sindio kasimamishwa NA rais. ma mwingine
 
kitu muhimu kwa nn hawakuorodhesha. WALIJIAMINI SN. KUNA WALAKINI HAPO
 
Back
Top Bottom