Acha mhemko ,mchezo nchafu na nsafi ni upi au jauri tuWampeleke Jaji Lubuva kwenye hizi kesi ili awe anasikia madudu ya uchaguzi maana kila siku anaonekana kweye media akisema uchaguzi unaendeshwa kwa uhuru na haki. This is a shame! hata kwa maelezo tu, mimi si mwanasheria lakini naona wazi kabisa michezo michafu ambayo inafanywa na hawa Wakurugenzi.
Then Kafulila atakua mbunge wa dunia,then atafulia maana ubunge ndio maishaHata akishindwa Dunia itakuwa imejua ukweli wa Mambo
Mimi sitashangaa, hiki chama cha majambazi wa mchana na usiku hakuna linaloshindikana kwao linapokuja suala la kutetea maslahi na matumbo yaoNitashangaa sana kama jaji wa kesi hii atarule in favour of husna!
Kwani mwenyekiti wa tume ndo alikua anatangaza Wabunge walioshinda?Acha kumbwelambwela, unasema kashinda we ndio mwenyekiti wa tume ya uchaguzi uliomtangaza?
Ndio maana watu wanasema "duniani hakuna haki ni sheria tu ukitaka haki mpaka Mbinguni"Wanasema mahakamani unaweza kushindwa kesi kwa 'technicalities', wakati ulikuwa na haki kushinda....!