Mkulu kabaki na kundi la vijana masilahi,wazee wenye hekima na baadhi ya vijana makini wameamua kujitenga nae

Mzee tambua njia mojawapo ya watu kutokukuunga mkono ni kwa wao kuchagua kukaa kimya wakati ambapo wanatakiwa kusema jambo.
Mambo ya ccm wewe yanakuwashia nini?
Mnajifanya hamumpendi na wala hamtaki kumsikia,lakini kumbe mnamfuatilia.
Wachukueni basi hao waliojiweka pembeni wakuongezeeni nguvu
 
Back
Top Bottom