Mkulu kabaki na kundi la vijana masilahi,wazee wenye hekima na baadhi ya vijana makini wameamua kujitenga nae

...... akili finyu utazitambua tu, maana kila lisemwapo la kukosoa mfumo mbovu wanakimbilia kusema ni CDM. Bora hata wangeona UKAWA, na pengine baadhi ya watoa maoni hawajipambanui na chama cho chote cha siasa. ccm badilikeni msibaki na akili za "robot"
"CCM mbadilike?" Kwahiyo nawewe kila anayoisema cdm ni CCM? Walahi ww ni zuzu zero!
 
Ukichunguza utagundua safu ya wazee ndani ya cham chake na baadhi ya vijana wachache wenye kujitambua wameamua kukaa kimya kama ishara ya kutokubaliana na matendo ya mkulu na kabaki kutetewa na kundi la vijana masilahi wanaotafuta nafasi na wale wanaojipendekeza kulinda nafasi zao.

Yaani hata yule mzee ambae ni mtendaji mkuu ndani ya chama nae kama vile hayupo kaamua kujitenga na malumbano haya ambayo bila shaka ni hatari sana kwa chama.

Wazee wengine nao wanatazama tu bila kutia neno wameamua kumuacha aharibikiwe maana hasikilizi la mtu na badala yake wamekuwa wakimpiga vijembe kwa njia ya mafumbo ili ajirekebishe.

Mzee tambua njia mojawapo ya watu kutokukuunga mkono ni kwa wao kuchagua kukaa kimya wakati ambapo wanatakiwa kusema jambo.
Wajinga tu ndo wanaacha kuingalia Tz miaka kumi ijayo badala yake wanapiga ramli kujua mkulu leo anakulaje, na nani, anavaa nini n.k ..huu ni upungufu wa madini kwenye Ubangi
 
Ukichunguza utagundua safu ya wazee ndani ya cham chake na baadhi ya vijana wachache wenye kujitambua wameamua kukaa kimya kama ishara ya kutokubaliana na matendo ya mkulu na kabaki kutetewa na kundi la vijana masilahi wanaotafuta nafasi na wale wanaojipendekeza kulinda nafasi zao.

Yaani hata yule mzee ambae ni mtendaji mkuu ndani ya chama nae kama vile hayupo kaamua kujitenga na malumbano haya ambayo bila shaka ni hatari sana kwa chama.

Wazee wengine nao wanatazama tu bila kutia neno wameamua kumuacha aharibikiwe maana hasikilizi la mtu na badala yake wamekuwa wakimpiga vijembe kwa njia ya mafumbo ili ajirekebishe.

Mzee tambua njia mojawapo ya watu kutokukuunga mkono ni kwa wao kuchagua kukaa kimya wakati ambapo wanatakiwa kusema jambo.
Wajinga tu ndo wanaacha kuingalia Tz miaka kumi ijayo badala yake wanapiga ramli kujua mkulu leo anakulaje, na nani, anavaa nini n.k ..huu ni upungufu wa madini kwenye ubongo
 
Ukichunguza utagundua safu ya wazee ndani ya cham chake na baadhi ya vijana wachache wenye kujitambua wameamua kukaa kimya kama ishara ya kutokubaliana na matendo ya mkulu na kabaki kutetewa na kundi la vijana masilahi wanaotafuta nafasi na wale wanaojipendekeza kulinda nafasi zao.

Yaani hata yule mzee ambae ni mtendaji mkuu ndani ya chama nae kama vile hayupo kaamua kujitenga na malumbano haya ambayo bila shaka ni hatari sana kwa chama.

Wazee wengine nao wanatazama tu bila kutia neno wameamua kumuacha aharibikiwe maana hasikilizi la mtu na badala yake wamekuwa wakimpiga vijembe kwa njia ya mafumbo ili ajirekebishe.

Mzee tambua njia mojawapo ya watu kutokukuunga mkono ni kwa wao kuchagua kukaa kimya wakati ambapo wanatakiwa kusema jambo.
Vijana makini .....unamaanisha wanamtandao............:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Ila Mbowe kabaki na Lema, ulioni.. Mambo ya upande huu yanakuhusu nini..

Hao unaosema hawapo siku wakiongea mnasema wanajipendekeza.

Mwakajana ulileta uzi kuhoji je CCM kama inaungwa mkono, mbona hatuoni wanachama wapya, wamekuja mpaka wabunge, mnarukaruka na kukanyagana
We uko kundi gani la vijana masilahi. Unalinda cheo ( Bashite, Gambo et.al) au msaka cheo ( Machali et. al) ?
 
Walio kaa kimya ujue wamebaniwa milija yao yakupiga hela hivyo hata kama ungekuwa niwewe halafu inatokea mtu anakuja kukuzibia mianya yako yakupiga hela naukiangalia hauna uwezo wakumfanya chochote ukijifanya mkosoaji unatumbuliwa bora ukae kimya ili uendelee kulinda kilicho baki hivyo ukiona mtu anakaa kimya hasemi chochote kiufupi ujue alikuwa mpiga dili(fisadi)
 
Ukichunguza utagundua safu ya wazee ndani ya cham chake na baadhi ya vijana wachache wenye kujitambua wameamua kukaa kimya kama ishara ya kutokubaliana na matendo ya mkulu na kabaki kutetewa na kundi la vijana masilahi wanaotafuta nafasi na wale wanaojipendekeza kulinda nafasi zao.

Yaani hata yule mzee ambae ni mtendaji mkuu ndani ya chama nae kama vile hayupo kaamua kujitenga na malumbano haya ambayo bila shaka ni hatari sana kwa chama.

Wazee wengine nao wanatazama tu bila kutia neno wameamua kumuacha aharibikiwe maana hasikilizi la mtu na badala yake wamekuwa wakimpiga vijembe kwa njia ya mafumbo ili ajirekebishe.

Mzee tambua njia mojawapo ya watu kutokukuunga mkono ni kwa wao kuchagua kukaa kimya wakati ambapo wanatakiwa kusema jambo.
Wote CCM na Upinzani mnaanza kuchanganyikiwa sasa.
 
Kunyamaza nako ni njia ya kupeleka ujumbe.
 
Back
Top Bottom