Mkulu kabaki na kundi la vijana masilahi,wazee wenye hekima na baadhi ya vijana makini wameamua kujitenga nae

Hivi nyie cdm hamna sera za kuzitetea mmebaki kubwabwaja ulabu?
Ivi na ninyi mumekosa mambo ya kufanya hadi mnakosa usingizi kwa kuhangaika na mambo yasiyokuwa na masilahi yoyote kitaifa.

Msipomjibu Kakobe mtapungukiwa nini? Mtashindwa kujenga viwanda?
 
Walio kaa kimya ujue wamebaniwa milija yao yakupiga hela hivyo hata kama ungekuwa niwewe halafu inatokea mtu anakuja kukuzibia mianya yako yakupiga hela naukiangalia hauna uwezo wakumfanya chochote ukijifanya mkosoaji unatumbuliwa bora ukae kimya ili uendelee kulinda kilicho baki hivyo ukiona mtu anakaa kimya hasemi chochote kiufupi ujue alikuwa mpiga dili(fisadi)

Boss cetterhutter Sasa wewe, tukuamini wewe au Rais wetu, Rais wetu alituambia na kutuaminisha wanaopiga kelele, na kusema Vyuma Vimekaza ni wale waliokuwa wanapiga Dili na Madili. Wewe unatuambia kinyume chake, kuwa wanaokaa kimya ndio wapiga dili. Au sasa hivi ni vyote, wapiga kelele na wakaa kimya wote ni wapiga dili ??? !!!
 
Wakimwambia halafu iweje? Apatikane ya nguo ni wanaowashwawashwa? Si bora kukaa kimya kuliko?
Mkuu mtoto akichana net, alafu umuache et atalia. Akiugua maralia nani atateseka? Na huu ndo ilivyo.
 
Planers always looks the game on the mirror
Achana kabisa na VASCO ninkijana wa mjini
 
Bora wajitenge nae, maana busara zao upupu, miaka yote ya busara zao nchi imeambulia patupu. Haya ndio mabadiliko ya kweli, sio Yale ya kufanya mazoezi ya mikono.
 
Kila mwenye kujiheshimu na kumuogopa Mungu amejitenga naye , ile ziara ya Mzee Mwinyi Hospitali ya Nairobi ndio imemaliza kila kitu .
 
Ametudanganya tuimbe uzalendo wa makinikia lakini haijulikani dola milioni 300 alizopewa zimeeenda wapi.
 
Msichokielewa chadema ni kwamba, mtashangilia kukosolewa kwa Magufuli ambayo ni afya kwake! Huku ninyi mkijisahau kunadi chama chenu.
 
Walio kaa kimya ujue wamebaniwa milija yao yakupiga hela hivyo hata kama ungekuwa niwewe halafu inatokea mtu anakuja kukuzibia mianya yako yakupiga hela naukiangalia hauna uwezo wakumfanya chochote ukijifanya mkosoaji unatumbuliwa bora ukae kimya ili uendelee kulinda kilicho baki hivyo ukiona mtu anakaa kimya hasemi chochote kiufupi ujue alikuwa mpiga dili(fisadi)
So hawa ambao hawako kimya ni kwamba milija yao ndo inatema ipasavyo sasa right? Yaani ndo wako jikoni kwa kifupi, wanashiba hata kabla hakijaiva
 
Hiyo pia inawezekana wanaogopa kwamba wakiongea milija yao itazibwa mkuu pia wazo lako naona linaweza kuwa sahihi.inamaana wanaopiga kelele ndio milija yao imezibwa.
 
Hiyo pia inawezekana wanaogopa kwamba wakiongea milija yao itazibwa mkuu pia wazo lako naona linaweza kuwa sahihi.inamaana wanaopiga kelele ndio milija yao imezibwa.
Kwasababu haambiliki,hao naowaongelea hapa wameona haina haja ya kumshauri bali wameamua kuacha dunia imfundishe.
 
Back
Top Bottom