Mkulo for crisis meeting as inflation nears 17pc

Hivi kuna watu wanategemea this guy mkulo kuwa na substance katika economic development ya Tz? The guy is a failure just like the Nchimbis, Tyson, Nundus etc.

nami nashangaa hata elimu yake ni feki from diploma mills does he even knows the effects of high inflation to a common man?
 

Mara nyingi vibarghashia na kanzu zikijipanga pale juu, mambo yana kwenda ndivyo sivyo. Kumbuka enzi za Mwinyi na Malima, inflation ilikuwa ina inapaa. Huyu nae, vilevile! Heri ya enzi za muuza nchi iflation ilikuwa somehow better!
 
Jamani tuna hali mbaya zaidi tunavyozidi kuendelea, kila kukicha ni afadhali yajana.
Hivi hawa watu wamewekwa katika nyadhifa hizo kwa maslahi ya kitu kipi?

Ngoja tusikilize huo mkutano wao watakuja na jipya lipi la kupunguza ukali wa gharama za maisha ambao umepanda kwa kiwango cha kutisha.
 
With the way things are going life will start to be tough even for these leaders.
 
Reactions: Ame
Utadhani nchi haina hata msomi mmoja bana....there are very simple things to do ili kustabilise currency na inflation lakini hii miny'ang'au haijui what is the priority. Unataka kujenga ghorofa focus inakuwa ni vioo badala ya nondo.

Nchi haijui vipaumbele ni vipi. Nashangaa mkopo unachukuliwa china kujenga miundombinu ya kusafirisha gasi lakini investiment kwenye hivyo vinu vya gesi sioni wala kwenye makaa ya mawe ambapo umeme ungezalika hamna investment. Sasa unadhani tutaweza balance the balance of payment (BoP) ili tuwe na stable curreny hence stable inflation!!! GRRR
 
Reactions: Ame
I would like to believe that 'capital flight' by the so called investors and/or mining firms are one of the major reasons for the increment of the dollar rates. Perhaps Mkulo should contemplate giving these investors fixed periods per year for transferring their 'gains' back home.

Secondly, as everyone knows, importation of fuel due to demands for running the generators is also chewing up the dollars.
 
Tangu lini uchumi ukaendeshwa kwa vikao. Bongo bwana kila kitu siasa. Asisahau kuunda na tume itasaidia pia.
 
Reactions: Ame
Tulionywa na Dr wa ukweli Slaa...nanukuu

"KUMCHAGUA TENA KIWETE NI JANGA LA KITAIFA...!"
na sasa ni mwaka mmoja tu cha moto tunakiona..! jamaa anaongeza mbunye tu!
 
Reactions: BAK
Kwakweli nchi yetu inasikitisha sana, huyu waziri wetu wa Fedha hakuna kitu kabisaa jamani, lakini aliyempa madaraka anamkumbatia tu.... hata kama ni kulipa fadhila angemtafutia sehemu nyingine sio kuchezea uchumi wa nchi yetu.:smash:
 

Waziri Mkulo anatia kichefuchefu! Wakati mdororo wa uchumi awamu ya pili (June 2011) alisema madhata yake hayatoweza kutuathiri! Wameambiwa jinsi tatizo la umeme litakavyoathiri thamani ya Tshs wakabisha na kusema Free Economy tunayofuata kushuka thamani kunaongeza mapato kwa exporters (sijui kama Ndullu na Mkulo wanajua hawa jamaa income yao inayorudi kusaidia maisha ya wa Tz waliowengi ni asilimia ngapi-si mtaalam ila NAJUA NI CHEMBE NDOGO MNO)

Mkutano wao ni wakututia matumaini zaidi. Hautokuja na lolote jipya na joto ya jiwe itazidi kutuchoma tuu!

Mungu atusaidie Tz, ila msaada toka kikao hiki ni sawa na kutibu Malaria kwa dawa ya maumivu (mfano Asprin)..ukiamka siku inayofuata hali yako ni mbaya zaidi ya jana
 
Mie napendekeza Mzee wa KUTA aka NNAPE aende wizarani hapo akasafishe uozo uliopo. Nina imani akitoka hapo hiyo wizara watakuwa wameshika mstari nyoofu wa kurekebisha shilingi yetu.
 
Tulionywa na Dr wa ukweli Slaa...nanukuu

"KUMCHAGUA TENA KIWETE NI JANGA LA KITAIFA...!"
na sasa ni mwaka mmoja tu cha moto tunakiona..! jamaa anaongeza mbunye tu!

Ndio maana hakuna sababu ya kumuacha huyu msanii aendelee mpaka 2015. Ni lazima ashinikizwe ili aachie ngazi. Kule Magamba wanataka kumvua uenyekiti kwa kushindwa kukiendesha chama chao cha magamba, lakini hawazungumzii kabisa kumvua madaraka kama kiongozi wa nchi maana kuna ushahidi wa kutosha kabisa kwamba uongozi wa nchi umemshinda kabisa.
 
Mara nyingi vibarghashia na kanzu zikijipanga pale juu, mambo yana kwenda ndivyo sivyo. Kumbuka enzi za Mwinyi na Malima, inflation ilikuwa ina inapaa. Huyu nae, vilevile! Heri ya enzi za muuza nchi iflation ilikuwa somehow better!

Na hili nalo linahusu dini au ni uwezo wa utendaji kazi wa mhusika?
Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Hawa kina Ndullu uprofesa wao unaisaidia nini tz. Monetary policy yetu inashindwa vibaya!
 
Hembu wajiuzuru bwana, tupate vichwa vipya vinavyoweza kwenda na wakati na speed hii ya mageuzi. Majority ya Mawaziri wetu, hawawezi mawimbi haya, jiuzuruni tu.
 
Hivin huyu kichwa cha nazi alipokuwa UDSM alisoma Degree ya Economics au political economy?
 
By dotto
"Suala la kupanda kwa gharama za umeme ni issue ya kibiashara na wanasiasa wasiingilie" by Jakaya Kikwete ( Jan 2011)"
Hii nimenichukiza!!! how come rais aseme kitu kinachotuumiza yeye hawezi kutafuta ufumbuzi hata kwa kuwaita wataalamu wamshauri achukue hatua gani kudhibiti hali hii??
 
Hawa kina Ndullu uprofesa wao unaisaidia nini tz. Monetary policy yetu inashindwa vibaya!

Kuna Mtu aliwahi kuandika hapa siku za nyuma kwamba Ndullu ni kichwa sana, nikauliza kama huyu jamaa ni kichwa ilikuwaje madudu ya EPA ambapo $133 millioni zilikwapuliwa hakuyaona? Hakukuwa na jibu. Halafu akaja kutoa kauli ya kushangaza sana kuhusu noti mpya kutoa rangi.
 
hapo kwenye red kwa nini wawe experts kutoka serikalini tu inamaana private sectors hakuna watu wa kushauri?
 
Jkwete's Gvt. Knows Nothing about economic management, No production, no effective tax systems, neither serving! What this damn government know is only SPENDING. I mean, Luxurious spending!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…