miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
hakuna kushusha maegi yaache kwenu ndo uinie kwake mda wowote ni muhanga ......
I let my intuition guide me. And am never wrong.If we as women learnt to listen to our inner voices we would avoid alot of heartache.
Weka Picha yako ya uhalisia utaogopwa Kama ukoma
Its telling me am safe. But sooner or later a spanking is coming my way.What's your inner voice telling you now? Does it sound like it's got a frog in it's throat?
Jaribu kuweka uone utakavyoshushuliwa. Au kama unapenda uendelee kusulubiwa kwa kutumiwa vimemo vya dada nakupenda, wewe mzuri kuliko wema, una mzigo kuliko snura n.k. endelea kuweka hii.yangu halisi ni zaidi ya hiyo, hali itakuwa mbaya zaidi
wengi wenu..
1. wana kiburi sana kwenye jamii
2. Hawana nidhamu kwenye mambo mengi sana ya kijamii
3. Kiburi na kutaka kutawala kwenye mahusiano hutokea na ndoa maana huwa wana migogoro mingi
4. Si wavumilivu kabisa!!
and those are the facts..
Jaribu kuweka uone utakavyoshushuliwa. Au kama unapenda uendelee kusulubiwa kwa kutumiwa vimemo vya dada nakupenda, wewe mzuri kuliko wema, una mzigo kuliko snura n.k. endelea kuweka hii.
hata humu jf wapoo........
Who says SO!!!!!!!
the red Part...I'm the exceptional..I don't fall in that group
kuna rimtu rimoja rimesema hivyo! ngoja nirivute chemba huku, inaonekana ni rikuruta!
Ata uyo mmoja ukimwi nje nje.kwa tabia hiz mmhkidumu na ukimwi juu.
Kuna jamaa amenuma sikio na kunieleza kuwa wanawake hufurahi wanapotongozwa. Ati akitoka home asubuhi na kurudi jioni bila kusikia psuuuuu, au dada mzuri ingawa nungaembe wa kutupwa au nakupenda huwa mnapata wakati mgumu hadi kwenda kwa masangoma ati msafishe nyota. Kumbe ndo maana unag'ang'ania hii ibaki. Lakini weka uhalisia halafu urudishe hii ili watu wachoke ile mbaya.wa kushushua hawakosekani si unajua tena watu kwa wivu lakini kama nilivokwambia yangu halisi ni zaidi ya hiyo. so wacha nisitafute matatizo zaidi.
situation za kutongozwa zinakuja tofauti tofauti,utajaribu kumpima mtu kadri uwezavyo ujue yeye ni nani pamoja na wewe mwenyewe ni kiasi gani umempenda,..YOU CANT PREVENT HEARTBREAKS HT KM UMEMJUA MTU ALL UR LIFE..LOVE IS A RISK
Kuna jamaa amenuma sikio na kunieleza kuwa wanawake hufurahi wanapotongozwa. Ati akitoka home asubuhi na kurudi jioni bila kusikia psuuuuu, au dada mzuri ingawa nungaembe wa kutupwa au nakupenda huwa mnapata wakati mgumu hadi kwenda kwa masangoma ati msafishe nyota. Kumbe ndo maana unag'ang'ania hii ibaki. Lakini weka uhalisia halafu urudishe hii ili watu wachoke ile mbaya.
I saw it.......
the good thing about mapenzi, kuna watu wanawapenda hoa ambao wengine mnawaona manungaembe wa kutupwa. afu utakutwa wanapendwa na watu wenye heshima zao ati. mapenzi hayana formular
Ngoja niachane na huyu kichwa ngumu DEMBA tuanze matanga ya Jack (bofya) tuone kama atarudi kutoka Macau. Angelikuwa Nung'aembe tusingeumiza vichwa vyetu.heartbreaks hazizuiliki, usipozipata kabla ya ndoa utazipata kwenye ndoa. that's life, hata ikitokea hutakiwi kuanza kulia, all u have to do is to move on with ur life as if nothing happened, if possible u start afresh