CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
Hivi naomba kuuliza wanawake wote hapa MMU, mwanaune anapokutongoza akilini mwenu huwa mnakuwa na majibu yapi?
Au huwa mnajidhatiti vipi mnapoanzisha mahusiano na a total stranger?
Daddito... Mapenzi ni pata potea, kuna kupata na kukosa. Kwa wale wanaoanzisha mahusiano pasipo commitment somewhere mwisho wa siku wakaachana hao asavali.... Ila nazungumzia hawa ambao wanajua kabisaaa kuwa wana commitment somewhere na tayari washafanya baadhi ya process... Wawe wakweli bana, sio kuchezea mioyo ya watu.
Ukiangalia katika hiyo scenario ya pili, mdada kakolea ajabu. Anajua kapata mume.... Yaarabi toba kumbe anachorwaje??? Sijui huyo mkaka atakapooa mdada atakuwa na hali gani?? Na baada ya hapo anawaonaje wanaume, ndo mwanzo wa kuwachukia wanaume na kuanza kurevenge.... Mwisho wa siku mtakaa kutulaumu wanawake mashetani kumbe kuna mwanaume mwenzio ndo alisababisha huyo mwanamke afanye hayo yote.......