Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...........!!!!!!

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...........!!!!!!

Kama hujui wanawake wakidangamya ndio wanaona wanapedwa mwambie ukweli kama si siku mbili tu kasepa hatahuna hata baiskeli ukimwambia
 
Huyo wa second scenario bora utafute mbinu ya kumwambia. Unachoweza kufanya tafuta mtu wa mkoa ampigie cm kumwambia a to z yaani wewe ujifanya haumo ktk hilo. Ukiweza pia kama una number ya huyo dada wa mkoa basi mpe mpiga cm ili kama atataka kukomfirm basi aipige hiyo number.

Lemme try it... then ntaja na mlishonyuma!!
 
duuh hzi stori,znazd kunfundisha kitu ..ht km upo kwny uhusiano uwe mguu ndan mguu nje mana yn maumivu anytime,..o rathr to be on the safe side uwe na kidumu pembeni and ufahamiane na watu wengi hata kama akizingua una pa kupunguzia mawazo
ooooshiiiii kumbe una kigalon ndiyo maana umekuwa msumbufu !!!!!
 
Tatizo wengi tunapo ingia kwenye mahusiano tunafikiri yatafikia ndoa,kumbe kuna mahusiano yanakuwa kama lesson.
kuna msemo "some relation are not meant to last so that you may learn to be smart next time" dah ubaya sie wadada we do not want to learn to be smart , something else WOMEN SEEK RELATIONSHIP WHILST MEN JUST WANT TO HAVE SEX AND MOVE ON , ARRGH! THE PROBLEM ARISE WOMEN WILL SLEEP WITH A LOT OF MEN BEFORE HE REALLY GETS THE REAL MAN, MEN WANTS TO SLEEP THIS WOMAN ANOTHER WOMAN AND ANOTHER WOMAN AND MAKE COMMITMENT TO NON OF THEM kazi kweli to all gals if Cinderella can get her prince without taking off her clothes why not you
 
Kama hujui wanawake wakidangamya ndio wanaona wanapedwa mwambie ukweli kama si siku mbili tu kasepa hatahuna hata baiskeli ukimwambia
uhhhu kind of..................
 
Back
Top Bottom