Jaman nachekeshwa sana na hv vtuko vya mkude simba jaman.hapa nmeskia moja et anaulzwa kuna makomando wangap nchn anasema kuna makomando wa2, komando jide na makomando walioimba kibaba baba...kwi kiw kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Jina lako weye kan'tangaze nimejikuta nacheka tu mwenyewe
Hivi huyu Mkude Simba ndio alitoa kichekesho cha mgonjwa kahamishiwa word ya Motuary harafu yeye kaenda Kijijini kutafuta dawa ya mgonjwa?:A S wink: