MKUBWA FELLA aeleza sababu za YAMOTO BAND kuvunjika kutokana na Sias

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Kutokana na Taarifa zinazotolewa na watu kwenye mitandao kuhusu kikundi cha mziki YAMOTO BAND kuvunjika leo,

Mkubwa Fella amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa kundi pendwa la Yamoto Band kuwa kundi hilo halijafa bali wamesimama kupisha kazi za solo artst kwasababu ya maslahi.
 
Mkubwa Fella niliyemjua Mimi miaka 10 hadi 15 iliyopita siyo huyu wa leo. Kabadilika sana na kuwa tofauti kabisa na Wagumu Asilia wa Temeke ninaowajua Mimi ambao kawaida hawana Unafiki na tabia ya Kujipendekeza kwa Wanasiasa Wajinga Wajinga.
 
Ah, wapi! Huyu ndie hasa Saidi Fella mwenyewe wa miaka na miaka!!
 
livunjike tu..walichokua wanaimba chenyewe sielewi..wanaimba mambo mazito ya chumbani kwenye mahadhi ya kitoto..sasa sielewi kwa ajili ya nani..mtu mzima ama mtoto..ubunifu ushaisha.
naupenda wimbo wa nitajuta tu...nyingine zote uharo
 
mkubwa fella alipumbazwa na siasa za mdebwedo za enzi ya JK.

nasikia yeye na ruge walikuwa wanaingia ikulu kama sebuleni kwao.

kila dhifa iliyohitaji burudani ya muziki,wao ndio walikuwa waratibu wakuu wa masuala yote ya burudani.

kwa JPM wamegonga kisiki,kwa sasa secta hiyo inashikiliwa na daudi bashite akishirikiana na watu wake wachache

ama hakika kutesa kwa zamu.
 
Back
Top Bottom