Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Mkosamali, subiri uchaguzi ujao ndio uhame, chaguzi ndogo ni gharama sana, hivi huu mtindo wa chaguzi ndogo nchi nyingi duniani wanautumia?
inawezekana kule NCCR pamemshinda maana Mbatia mwenyewe haeleweki yeye kila siku anagombana na kuwekeana bifu na wanawake badala ya kuongoza chama yeye kila siku mara Halima Mdee mara Mama Nkya sasa hapo kuna kiongozi au ni boya tu ????
Hizi chaguzi ndogo gharama zake tunalipia sisi wananchi.....sio fair kuwa kila mbunge akijiskia kuhama chama wananchi tugharimike
Duh kwa mbali sasa naanza kupata picha kamili jinsi mambo yalivyo...kama ni hivyo n bora akaanza mapema kukusanya kilichokuwa chake.nafikiri intelijensia yake imemuambia ccm watashinda kesi ya uchaguzi kwa kutumia mahakimu wao na mwanachama wao james mbatia aliyopo nccr mageuzi...bora ahame sasa hivi..
Mbatia ni ccm damu
nafikiri intelijensia yake imemuambia ccm watashinda kesi ya uchaguzi kwa kutumia mahakimu wao na mwanachama wao james mbatia aliyopo nccr mageuzi...bora ahame sasa hivi..
Nadhani chadema watumie busara wamshauri atulie amalizie term hii kwanza. Cha msingi bungeni anaweza kufanyakazi bega kwa bega na cdm maana hawtofautiani sana kisera. Kama anataka kujiunga na cdm asubiri 2015 ambayo tunajua ni wengi tu watahamia cdm siyo yeye tu.