Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma.

Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.

Mungu awaponye mapema Amen.
 
Mungu awaponye haraka ili mrudi katika kazi ya kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.Get well soon guys.
 
Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma. Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.

Mungu awaponye mapema Amen.

poleni
kwann ndugu wa nyumba mnasafiri gari moja
 
Poleni sana aisee....hizi ajali zimeongezeka sana kipindi hiki cha wiki tatu sijui ni nini hasa shida!
 
Ndo yule kijana mtukutu anaependwa na madame speaker?
 
Back
Top Bottom