Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

poleni....Mungu awaponje majerui wote...
 
Hivi huwa kuna ajali nzuri? Get well soon

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ooohhh!!!! Poleni sana majeruhi wote mpate nafuu nakuendelea na majukumu yenu.
 
Duh pole zake sana ila inawezekana gari imechakaa maana yule Madame wa Wizara ya Mshiko alisema magari haya yanasababisha ajali
 
Dodoma alikuwa anatoka kufanya nini make tunajua ukawa wameoma kwenda dodoma yeye alikuwa anatoka dom kufanya nini.
 
Dodoma alikuwa anatoka kufanya nini make tunajua ukawa wameoma kwenda dodoma yeye alikuwa anatoka dom kufanya nini.

Ukawa Wamegomea Bunge la Katiba au mkoa wa Dodoma?!
Ina maana Ukawa imezuia hata kupitia Dodoma?!
Ova.
 
Huu mwaka si wa kusafiri safiri hovyo...ajali zimekuwa zikitokea kila leo...
 
Back
Top Bottom