Kweli mkuu kosa la dogo ni kwenda dom walijua ameshawasaliti hilo lilikuwa dili tayari ajipange.Nilijua panda mbili,pole dogo
Dodoma alikuwa anatoka kufanya nini make tunajua ukawa wameoma kwenda dodoma yeye alikuwa anatoka dom kufanya nini.
Lakini wadau si mnajua NCCR ni sehemu ya UKAWA ambayo inaongozwa na CHADEMA. na wote tunajua CHADEMA huwa wanamalizana kinyemela, so inawezekana wamewaambukiza NCCR. Jamani vyama vya upinzani fungukeeeeeeeni! Achaneni na huyo "MCHUNGAJI MLA KONDOO!" Eti wanataka katiba bora ya Watanzania, mbona wanaua viongozi wanaokubalika na Watanzania? Tena wanawapotosha!
Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma.
Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.
Mungu awaponye mapema Amen.