Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

Mkosamali apata ajali mbaya Bahi mkoani Dodoma

Pole zao nyingi. Alienda kufanya nini dodoma wakati hashiriki vikao vya bunge
 
Pole kijana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.
Taarifa ni kuwa mdogo wake Felix amefariki akiwa Hospitali ya Muhimbili.

Mungu ampumzishe anapostahili
 
Pole sana... walioumia wapone haraka
 
Aliefariki mdogo wa mbunge anaitwa Essau Mkosamali,,,,,,R.I.P
 
Pole kwa wahusika.
Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma.

Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.

Mungu awaponye mapema Amen.
 
Back
Top Bottom