mkopo

kaka wadau wanasema msikilizie mpaka tarehe 27 ya mwezi huu,ila kwa mawazo yangu tamko wasipolitoa kwa huo mda basi itabidi wanafunzi tuchukue hatua maana vyuo vimeshafunguliwa kwa mfano UD tar 3 sasa kama wasipotoa tamko la kueleweka hawa wataendaje chuo??......tuchukue hatua tu.
 
Ni kesho tu mkuu,
Utujulishe yatakayojiri huko mkuu tunasubiri kwa hamu yatakayoamriwa huko!.
 
tuko jamiiforums kwa mambo kama haya kaka taarifa kwanza,usijari mkuu kila kitu kitawasilishwa.
 
kaka wadau wanasema msikilizie mpaka tarehe 27 ya mwezi huu,ila kwa mawazo yangu tamko wasipolitoa kwa huo mda basi itabidi wanafunzi tuchukue hatua maana vyuo vimeshafunguliwa kwa mfano UD tar 3 sasa kama wasipotoa tamko la kueleweka hawa wataendaje chuo??......tuchukue hatua tu.

unataka uchukue hatua gani?
 
juzi kati nilkuwepo bodi ya mkopo,tamko walolitowa ni kwamba fedha zimewaishia hvyo si kwa 1st,2nd,au 3rd round waliokosa mkopo kwa watafikiriwa juu ya kupewa huo mkopo,inshort kwa sasa wanaandaa bajeti ya waombaji wa mwakani na kwa mwaka huu budget is exhausted.Duh! wtoto wa wakulima wanalia mpk inatia huruma....mkuu km umekosa mi nakushauri jaribu kutafuta alternative nyngine.
 
sa we kama umepata mkopo,bodi ulienda kufanyaje?
 
Mkuu nlikwenda kumsapoti mchizi wangu ambaye alkuwa na matatizo yake binafc pale bodi .ndo kwa bahati tukapata hzo taarifa kwa uwazi kabisa.

jf si sehemu ya wahuni, mchizi maana yake ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom