Mkopo wa riba nafuu

Mmmmh riba ya mwendokasi,hapo mnasaidia nn sasa?
 
Wakati unaongea sisi tunaendelea kupiga kazi [emoji123] [emoji123] [emoji123]
wakupiga kz hawapo jf, umeingia uku ina maana meza nyeupe hauna files na pesa ipo benki uliyokopa kila mwezi unairejeshea, kama pesa ni yako ukiweka 18% p.a kama nmb still utakua na profit nzur tu, lakini tokana na wewe umekopa ndo maana unatuwekea 40%
 
Hujui maana ya mikopo ya dharura wewe istoshe mtu akija na vitu tunavyotaka anapata mkopo hapohapo so we take a big risk maana verification tunaifanya within minutes that being the case riba lazima iwe juu kidogo. Istoshe kuna wenzetu wanapiga riba ya 60% kwa miezi minne na bado watu wanamiminika kuchukua kutokana na dharura za hapa na pale.

Pia imagine wafanyakazi wa serikali wenye take home ya 230,000 unafikiri huyu mtu kuna bank ataenda kukopa apewe hata cent tano??? Hapo ameshafika ukomo wa mkopo lakini akija kwetu anaweza kuambulia hata laki tatu ya kutatua dharura aliyonayo wakati huo.
 
Mimi Niko mkoani unanisaidiaje
 
Vitu vyote hivyo mpk barua ya Muajiri kwa laki1 tu?...dah!
 
Huyu afisa mikopo mbona anakaukali fulani?
Kwenye kudai mkopo si balaaaa atakuwa

Ova
 
Ev10 said:
Kuna dada mmoja hapa alikuja kutangaza mkopo, hadi page ya nne kagoma kutaja kampuni na riba kakomaa mwenye shida aje pm.... Nikaenda pm nako hola kagoma kutaja ananiambia njoo whatsapp nikaona isiwe shida hii riba lazma ni asilimia elf moja
Mm sasa hv nikitaka mikopo midogo ya mwaka mmoja naingia SMART. Hawajawahi
niangusha riba 12% per year .
 
Mm sasa hv nikitaka mikopo midogo ya mwaka mmoja naingia SMART. Hawajawahi
niangusha riba 12% per year .
Mkuu hebu fafanua vizuri kidogo, hao smart ndio kina nani na wapo wapi?
Wenye shida na mikopo tupo wengi, tusaidiane kama kuna sehemu kuna unafuu wa upatikanaji wake na riba zake za chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…