Mkopo wa riba nafuu

Mkopo wa riba nafuu

SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura

b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara

c) Ada za shule.

- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.

Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi

Pm for more information
Riba nafuu ndio kiasi gani
 
Hao ni huenda wakawa ni miongoni mwa malaghai,

Kwanini haweki Riba na masharti yote ya mkopo?

Watumishi kuweni macho na hawa jamaa
 
Ukitaga kupungua Uzito, preshaaa,kisukari, n.k basi jichangnaye kakope kwenye hizo micro finance kama hizo, Unaweza acha kazi ndio maana anaogopa hata weka riba..

Pia hana customer care... Poor her
 
acha mambo ya pm...weka mambo yote hapa.

n.b, acha usiri kama unaamini wewe unataka kusaidia watumishi!

.....eti PM....
 
SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura

b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara

c) Ada za shule.

- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.

Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi

Pm for more information

Anzisheni App tuombe online
 
Yaaan kanikera Huyu mleta uuzi et anawabagua wakulima n'a kuwashusha kwa lugha ambayo un professional hafai kabisa yaani
 
Yaaan kanikera Huyu mleta uuzi et anawabagua wakulima n'a kuwashusha kwa lugha ambayo un professional hafai kabisa yaani
Usi judge kwa kuangalia upande mmoja je uliona jinsi hao wakulima walivyoniletea kejeli?
 
Back
Top Bottom