Mkopo Tafadhali: upate riba 15%

Mkopo Tafadhali: upate riba 15%

Sina details zaidi kuhusu masharti yao kwa undani. Ila ukihitaji naweza kuwauliza jama wanaofanyakazi na FINCA.

Hata hivyo, ni muhimu ujipange ili uweze kukidhi vigezo vyao.

Kwa mfano, hitaji la TIN na leseni ya biashara ni muhimu ili wajiridhishe kwamba wanampa mkopo mfanyabiashara. Kama hauko level hiyo basi tafuta wenzio muunde kikundi. Vinginevyo, kila taasisi wana masharti yao na unatakiwa uyatimize kama kweli unataka kukopa pesa zao!!

umesomeka, chief!
 
Ok mie nipo dsm mbezi huku collateral itakua nini sasa maana ninaweza kukutumia kwa M-PESA,ebu fanya mchakato wa collateral

nimekuelewa mkuu! Collateral or pledge nimelist hapo kwenye thread juu! Niambie ni ipi iwe security yako then nifanye mchakato! Nina ka elimu ka sheria kidogo hivyo nitaomba tushauriane jinsi ya kufanya reliable and succesful lending!
 
Hapa wanatoa mikopo bila riba, aonane nao, hata wewe unaweza kuifata biblia kwa kuwaona hawa: Amana Bank Ltd. | Tanzania's First Fully Sharia Compliant Bank[/QUOTE]

I thought you said "kuifuata biblia", lakini naona wao wanaifuata quran!!...ahahahaa, natania mkuu, pamoja sana. Nashukuru kwa taaarifa ya hao jamaa wa Amana Bank, japo sijajua viwango vyao vya kukopa!

Biblia imekataza Riba na Qur'an imekataza riba, vitu viko wazi kabisa. Sijaona benki ya sheria za Kikristo isiyo na riba mpaka sasa ningekushauri/ningemshauri aende huko. Kwa bahati nzuri ipo hiyo Amana Bank inafata Sharia nayo haitozi riba. Hizi Bank zinazofata Sharia sasa hivi ni popular hata nchi za magharibi. Usishangae.

Soma hizi: Islamic Banking Marches Onwards And Upwards

[h=1]What is Sharia Banking?
[/h] London is the leading Islamic banking center in the West, and the Netherlands is seeking to overtake London in this regard. Wall Street is becoming enamored with Islamic banking (also known as Sharia banking) and this banking model is rapidly gaining acceptance in the Western world.
 
Back
Top Bottom