15% kwa mwezi. Kwa mwaka ni 180%. Ukikopa 1,000,000/- kama mkopo ni wa mwaka mmoja unatakiwa urudishe shilingi 2,800,000/- which is very very expensive.Mkuu umekosa saccos ya kukupa mkopo? 15% kwa mwezi ni kubwa sana....
Mkuu umekosa saccos ya kukupa mkopo? 15% kwa mwezi ni kubwa sana....
15% kwa mwezi. Kwa mwaka ni 180%. Ukikopa 1,000,000/- kama mkopo ni wa mwaka mmoja unatakiwa urudishe shilingi 2,800,000/- which is very very expensive.
Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote (Biblia, Kutoka 22:25)
Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)
Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile!. Biblia (Luka 06:34)
... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe, lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake . (Biblia Ezekieli 18:13)
Waislamu huchinja na kutoa Swadaqah ya kondoo mwanamke akijifungua. Hii pia imetajwa katika Biblia.
Na siku yake ya kujisafisha ikifika, ikiwa ni mvulana au binti, atachinja kondoo mwenye umri kwa sadaka ya kuteketezwa ... (Mambo ya Walawi 00:06 Biblia)
mkuu ukinipa laki 5, kwa mwezi nakupa riba 75,000. Kama upo tayari naomba uni PM.
nawe Zomba nakushukuru pia! Ila hapa ni biashara zaidi mkuu, naogopa sana kutafsiri biblia ila kabla ya kufanya hili nilimwomba Mwenyezi Mungu aniongoze pia!
"... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe, lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake ". (Biblia Ezekieli 18:13)
"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)
"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)
"Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile!". Biblia (Luka 06:34)
"... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe, lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake ". (Biblia Ezekieli 18:13)
Waislamu huchinja na kutoa Swadaqah ya kondoo mwanamke akijifungua. Hii pia imetajwa katika Biblia.
"Na siku yake ya kujisafisha ikifika, ikiwa ni mvulana au binti, atachinja kondoo mwenye umri kwa sadaka ya kuteketezwa ... (Mambo ya Walawi 00:06 Biblia)
Mkuu, saidia huyu kijana...kopesha yeye bure tafadhali!
That means Capital+Interest(75,000/=) unarudisha kwa miezi mingapi?
Ndugu GreenCity,
Nakushauri uende FINCA. Hawa nao ni wazuri na wameenea karibia kila wilaya. Riba yao kwa mwenzi ni karibia 3%.
Kwa hiyo laki 5 unayotaka, utalipa 15000 ambayo ni sawa na 75000 kwa miezi 3. Ila kwa kuwa unafanya marejesho kwa week, riba itapungua na unaweza kulipa kama 45000-50000!Nakutakia kila la heri,
bila shaka unazungumzia ule wa vikundi kaka! Sasa wanataka msipungue watu 5, na kama ni binafsi wanaitaji TIN na Leseni ya angalau mwaka 1 nyuma na dhamana ya biashara yako, N.K
au wametofautiana mkoa na mkoa?
exactly! Nahitaji nitumie kwa miezi 2. Na ukitaka nikupe riba yako kila mwezi its OK, AU ukitaka nikupe the sum of it (total cost plus interest) at the end of the miezi 2, still its OK!
Deal?