Mkopo wa haraka
Member
- Jul 6, 2022
- 10
- 9
- Thread starter
- #21
Hao wengine umesema wanaanzia 13%,but sisi tunaanzia 11.5%.Badilisheni strategy. Kama dominant banks kama crdb na nmb wanakopesha kwa kati ya 13%hadi 15% kwa miaka hadi 8, nyie 16 mnaitoa wapi?
Mkitaka kuwashika watumishi wa umma punguzeni riba hadi 10 ama 11 kwa mwaka na reducing balance.
Hii itaweza kumshawishi mtu kuhama kwa benki yake ya sasa.
Kwa hali ilivyo sasa mna kazi ngumu sana mbele yenu.
Karibu tukuhudumie.