Mkopo kutoka BancABC Tanzania Limited

Mkopo kutoka BancABC Tanzania Limited

Joined
Jul 6, 2022
Posts
10
Reaction score
9
BancABC TANZANIA LIMITED.
Tunatoa mkopo kwa watumishi wa serikali mpaka shillingi milioni arobaini(40m), mkopo ni wa muda mfupi na muda mrefu. Mkopo wa muda mfupi ni miezi 6-9 kwa riba ya 11.5%

Na mkopo wa muda mrefu ni kuanzia mwaka mmoja hadi miaka 8 kwa riba ya 16% tuu.
Pia, tunanunua madeni kutoka bank nyingine au kuhamisha deni la mkopo.
  • Mkopo ni rahisi kuupata na haraka,ndani ya masaa 48 ya siku za kazi.
  • Mkopo tutapitisha kwenye A/C yako ya mshahara.
VIGEZO VYA MKOPO
  • Salary slip ya mwezi 1.
  • Kopi ya kitambulisho cha kazi.
  • Kopi ya kitambulisho cha taifa.
  • Picha moja ya passport size.
  • Bank statement ya miezi(3)
Haijalishi upo wapi ndani ya nchi, popote ulipo tutakufikia bila wewe kufunga safari kwenda kwenye branch zetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Karibu tukuhudumie.

Karibu BancABC TANZANIA LIMITED.
Kwa mawasiliano piga no:0686536070

tmp-cam-628163659.jpg
 
Sitaki ata kuwajua nyie mshikaji alianza kukatwa wkt mpunga hajapewa kuja kuupata huo mpunga yani akawa anapiga simu kwenu Mara hawapokei utazani anawadai wkt ilikua hali yake
Pole sana boss,nadhani ni matatizo ya kiufundi tu yalitokea,ila sasa tumeboresha na utapata mkopo wako ndani ya masaa 48(two days)
Karibu tukuhudumie.
 
Naomba fafanua hapo kwenye kununua madeni how?,
Binafsi nimekopa bank fulani wakati ule wa system ya Awamu ya tano, lakini bank yangu nimefanya nayo kazi kwa zaidi ya miaka kumi na tano, bila dosari nakopa narudisha bila shida, wakati wa awamu ya tano mambo yalikwama hasa kwa sisi businessman, ikatokea delay kidogo sasa hii bank hata uielezee vipi wamekuwa wagumu kweli, so naweza amishia deni kwenu nikaendelea na huduma kama kawaida?
Jee wewe ni mtumishi wa serikali?nijulishe ili nikufafanulie kuhusu kununua deni bosi!
 
Jee wewe ni mtumishi wa serikali?nijulishe ili nikufafanulie kuhusu kununua deni bosi!
Afisa masoko unafeli Sana waliopo humu JF sio watumishi tangazo lako peleke kwa watishi maofisini mwao......hapa teleza ili umsaidie hata ambae ni mume wamtumishi au mke wamtumishi au mtumishi mtarajiwa ajue mnahamishaji nunuaje Deni lake na kwa mume au mke wamtumishi apatie pakujaribu amshawishi mwezake ili waje wakope wakamalizie nyumba pale kawe
 
Ungefafanua haya:-
1) Riba ya 11.5% ni kwa Mwaka au !?
2) Mfumo wa ukokotozi ni REDUCING BALANCE !? FLAT INTEREST !? ama BANK ABC STYLE !!!
3) Gharama nyinginezo zinazoambatana na mkopo/Hidden Costs ni zipi !?
 
Labda niwe punguani ndio nichukue mikopo yenu na Bayport, Finca, Platnum n.k.
Kuna mwaka nilipata msiba nikawa nimetindikiwa nikasema nichukue mkopo wa 1M kwenu BANC ABC baada ya miezi 6 nitakuwa nimerudisha wanikate kwenye mshahara. Kweli nilipata nikaenda na kufanikiwa kumaliza msiba vizuri. Jamaa wakanikata miezi 2 na baada ya kutulia baada ya msiba na kugawana nguo nikasema nilipe keshi kiasi kilichobaki kama 700,000. Aiseeee vita yake hiyo🤓🤓🤓🤓🤓😁🥺😁🥺
 
Badilisheni strategy. Kama dominant banks kama crdb na nmb wanakopesha kwa kati ya 13%hadi 15% kwa miaka hadi 8, nyie 16 mnaitoa wapi?

Mkitaka kuwashika watumishi wa umma punguzeni riba hadi 10 ama 11 kwa mwaka na reducing balance.

Hii itaweza kumshawishi mtu kuhama kwa benki yake ya sasa.

Kwa hali ilivyo sasa mna kazi ngumu sana mbele yenu.
 
Wafanyakazi sekta binafsi mnataka tufe tu mtuzike sio,,? Yani huku mishahara tumebaguliwa tukatengwa na kwenye mikopo mabenki nayo hamtutambui,,

anyway kazi iendelee
Pole mkuu,tupo kwenye plan yakuingia kwenye sekta binafsi,wakati ukifika tutawafikia pia.
Karibu tukuhudumie.
Ahsante.
 
Afisa masoko unafeli Sana waliopo humu JF sio watumishi tangazo lako peleke kwa watishi maofisini mwao......hapa teleza ili umsaidie hata ambae ni mume wamtumishi au mke wamtumishi au mtumishi mtarajiwa ajue mnahamishaji nunuaje Deni lake na kwa mume au mke wamtumishi apatie pakujaribu amshawishi mwezake ili waje wakope wakamalizie nyumba pale kawe
Tunashukuru kwa maoni yako,humu wafanyakazi/watumishi wa serikali wamo pia na tayari leo tutaanza kuwahudumia kwa hao walio wasiliani nasi ili kupata mkopo.
Karibu tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom