Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,640
- 74,504
ππ€£π πππππHawa jamaa ni sawa na Finca, Letshego(Faidika), Baypord, etc.
Jichanganye uliwe kichwa ππππ
ππ€£π πππππHawa jamaa ni sawa na Finca, Letshego(Faidika), Baypord, etc.
Jichanganye uliwe kichwa ππππ
Ndukiiiiafisa masoko akutana na wajuba[emoji38][emoji38][emoji38]
wampiga za mbavu atokea mlango wa nyuma.
Mamaaaeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]afisa masoko akutana na wajuba[emoji38][emoji38][emoji38]
wampiga za mbavu atokea mlango wa nyuma.
Hawa Ni Wezi Ukikopa Wanataka Uwape Mkopo Wako Kama Ganji Wakati Wanalipwa SalaryMamaaaeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna hao BAYPORT ndio baba lao. Wakati mmoja huko nyuma niliwahi kukopa 7M deni likasoma 18.5M. Wahanga wakubwa ni hawa wadogo zetu AJIRA MPYA wa juzi maana ndio hushawishiwa na hawa jamaa mpaka wanakulegeza. Tusaidiane kuwaelimisha wadogo zetu wasithubutu kukopa kwenye hizi TAASISI zisizo Bank. Wana masharti nafuu na maneno yao malaini kama wanamtongoza mrembo ila riba zao ni kama Mlima KILIMANJARO.Aise pole sana
Yaani unakopa 4m unarudisha 11m
Hii ni zaidi ya unyanganyi
Ova
Maisha yake hii hatakujibu hata umpige bakora..... Mabenk ni wakora sana, wanaovuna wasipopanda.Ungefafanua haya:-
1) Riba ya 11.5% ni kwa Mwaka au !?
2) Mfumo wa ukokotozi ni REDUCING BALANCE !? FLAT INTEREST !? ama BANK ABC STYLE !!!
3) Gharama nyinginezo zinazoambatana na mkopo/Hidden Costs ni zipi !?
π€£Maisha yake hii hatakujibu hata umpige bakora..... Mabenk ni wakora sana, wanaovuna wasipopanda.