Uliwatokaje ?Nilichowafanya Hawa branch mpaka Leo hawajui kilichotokea
Wanasema usipojipanga, utapangwa. Pole sana.
Mimi tarehe ya kurudisha haitafika nitakua nishawapa chao.Utauwa watu kwa pressure chief maana walishaanza sahau zile meseji tunakuja kukamata imebaki siku moja sijui nini
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 umenishinda tabia
Walikukopesha kirahisi tu. Nipe utaratibu. Leo leo nakata tiketi ya treni kesho mbege Rombo
Nitake radhi. Chagga sio kabila. Makabila ni wamachame, wakibosho, wauru n.k katika hawa kila kabila lina tabia zake. Warombo hatudhulumu mtu.