Mkopo Branch au Tala

Kwa kifupi sana ni kwamba haukopesheki. Mbona hao Tala ni kama walishafunga shughuli zao hapa kwetu?

Na hata kama wangekua bado wanaendelea na shughuli zao, usingepata pesa ya kukidhi haja yako kwa muda mfupi namna hiyo, walikua wanakuongeza kiwango kadri unavyolipa na vigezo vingine. Krismas hii kuwa mpole tu au fanya maarifa mengine.

Wanasema usipojipanga, utapangwa. Pole sana.
 
Tala hawana hamu na wabongo
tapatalk_1574771919807.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Monk,
Mkuu. Hata laki mbili hawawezi kunipa ya kuniwezesha nauli 60,000 kwenda na kurudi 40, kuwaachia wazazi na nyingine ya kusafisha jina ? Laki 2 itanitosha sana kwani nitatumia treni. Muda wa kusafiri masaa 20 kwangu sio issue.
 
Tala walifunga biashara huku wananidai, sasa sijui waliamua kunisamehe au vipi maana hata sms za mikwara situmiwi tena.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom