Mkono threatens to take over secondary school in Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkono threatens to take over secondary school in Musoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Dec 31, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Mkono threatens to take over secondary school in Musoma Send to a friend Thursday, 30 December 2010 21:47 digg

  The Musoma Rural Member of Parliament, Mr Nimrod Mkono, has threatened to revoke the government ownership of Oswald Mang'ombe High School if serious measures will not be taken to rescue it from total collapse.

  Mr Mkono threatened to revoke the ownership of the school during the launching of the school board on Tuesday. He said he was not satisfied with the way the school was being run.

  Speaking to journalists at the school premises, Mr Mkono said: "I handed over the school to the government last year at a ceremony where President Jakaya Kikwete promised that his government would run it"

  He said construction of the school, which is situated at Busegwe area in Musoma District, had cost him a lot of money and he was surprised by the way the government was running it.

  He said currently the school has only five teachers who cannot meet the demands of students.
  Apart from that no efforts were taken by the government to ensure that the buildings are maintained.

  MY TAKE
  Hivi huyu fisadi hii jeuri ya kuikaripia serikali inayomfaidisha, anaitoa wap?
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ana hela katoa wapi? Fisadi anaiba hela la wananchi wa TZ , BOT, Dowans, ............... Halafu anajifanya mjanja kuikaripia serikali. Hii Tanzania kweli kichwa cha mwendawazimu.
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mbona njama za kutaka kuitoa shule hiyo kwa Kanisa zinajulikana siku nyingi tu. Anatafuta sababu.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyo ndiye Wakili Mkono kwa Serikali ya CCM.
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hey mimi naona watu hampendi huyu mzee bure tu. Hata kama ni wewe umetoka shule kwa serikali na haina walimu na haifanyiwi matengenezo ungefanyaje?. Vilevile kuhusu mikataba lawyer yeyote mwenye kampuni kubwa kama ya Mkono atalalamikiwa tu kwani wawekezaji wote wakubwa ambao ni wateja wake wamesaini mikataba mibaya na tatizo si lake bali ni la serikali.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kamundu, acha kuleta Kiswahili kirefu hapa, toa hoja!!!
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tatizo la walimu liko kote nchi nzima. Mkono alitegemea baada tu ya kutoa shule walimu wajazwe hapo kwa sababu tu shule kaijenga yeye? Mimi nafikiri hizo ni jazba mbaya kwamni angetaka kusaidia angeanzisha mfuko ambao ungetumika kuwalipa walimu na ndipo atafute walimu wa kukidhi mahitaji ya shule hiyo, badala ya kuilaumu serikali ambayo ina crisis kama hiyo nchi nzima.
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hayo ni madhara ya ufisadi wa hela za wavuja jasho..

  Aliiba akaenda kujenga shule kwao akidhani ndiyo itampa sifa kumbe ndiyo inaharibu kabisa.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kiukweli serikali haiwezi kuchukua pesa yake kumaintain shule iliyojengwa extravagantly wakati shule za kawaida zimechoka..thats commonsense. Pesa ya kuimaintain hiyo shule inaeza kuwa sawa na kuzimaintain shule za 'kawaida' 10, sasa nani atakubali huo ujinga..kama unajenga shule i-maintain wewe mwenyewe kwa fedha zako .. ebo!
   
 10. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tuanze na Wizara ya Elimu kwanza. Tumweke Mkono kiporo. Alichokizungumza Mkono ni kweli na kina mantiki.
   
 11. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Hoja ya Kamundu ni kuwa kuna chembe ya ukweli kwa hili la Mkono hata kama anatuhumiwa ufisadi. Katoa shule, iweje serikali ishindwe kupeleka walimu wa kutosha. Iweje serikali isiweze kufanya matengenezo. Hoja hapa ni kuwa serikali yetu haijui kusukuma maendeleo wala kufanya kitu kinachoitwa ukarabati. Waziri wa ujerumani alimwambia PM alipokuwa anazindua barabara ya Lushoto kuwa Watarudi kuifanyia ukarabati kama walivyoanza ujenzi miaka 90 iliyopita.
  Mradi wa Malaria, Japan imetoa sasa umekufa. Mradi wa umwagiliaji Moshi n.k. Shule zote zilizobinafsishwa za mashirika kama Agakhan au za Kidini zote zimekufa kama si kupoteza hadhi. Zikitudishwa kwa wenyewe zinakuwa bora. Huu ndio utaratibu wa serikali masikini wa kufikiri. Mkono anahoja, tumhukumu kwa mengine But let us give him credit where it is due.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Watu naona wanashindwa kuona tatizo hapa..gharama za shule wajameni sio majengo mapya peke yake. Ukijenga jengo la bilioni 5, lazima upige na hesabu za kuli-maintain hilo jengo ili kueza kuwa functional..sasa kwa mtu binafsi kujenga shule kwa mamilioni counts only half an effort..kuna suala la maintanance, walim, vitendea kazi et c , vyote hivi vinahitajika na uwezo wa serikali kutoa huduma za kijamii unafahamika kuwa ni duni.

  Sasa IMO, i would prefer uwezo mdogo wa serikali kutoa elimu walau uwe localized kuliko kucentralize funds ambazo relatively zitakuwa nyingi, kwenda kwene shule moja ( ya Mkono) na kuhudumia watoto wachache tu na kuwaacha wale waliokuwapo kwene shule zingine wakipunjwa hata kile kidogo kilichiokuwa kiangukie kwao..it is a fair approach.

  Huu utaratibu wa kiogogo mmoja kulobby na kupolarize mtawanyiko wa fedha za serikali si utaratibu mnzuri na unawanyima haki yao watu wanatoka kwene maeneo ambayo hayana refarii kigogo. Wewe kama unajiona ni kigogo unataka kutoa msaada do ur homework ili msaada wako usiwaumize wasiohusika(wananchi).
   
 13. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Serikali itatoa wapi hela wakati wao wanaziiba? Ni bunge muda wote alikuwa hajui shule za Tanzania zikoje kwa nini hiyo moja tu, anatafuta sifa hapo.
  Kama bunge and mwanasheria alikuwa na nafasi nzuri ya kuishauri serikali... but anashiriki na wezi wenzake halafu analalamika. ni upuuzi.
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Well said, mkuu! Serikali imeshindwa kuziangalia shule zake ambazo zimejengwa kwa viwango vya chini sembuse hiyo iliyojengwa kwa mabilioni! Mkono amejitolea kujenga shule ni jambo zuri lakini sio kutaka kuendelea kupata sifa kwa gharama zetu.Yeye kama anataka hiyo shule iwe kwenye kiwango anachotaka aendelee kuwa mfadhili.
  Hilo swala la waalimu sijui ni kitu gani kinamshinda yeye kama mbunge kulipeleka bungeni?
   
 15. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine haituhitaji kuwa Passive, Mkono kama aliamua kwa utashi wake kujenga shule then akawakabidhi serikali inamaana ameisaidia Serikali jukumu lake, sasa lazima tujue anapoikaripia Serikali hailengi serikali kuu,maana tunajua kila Almashauri inapokea pesa za kufanya mambo yote hayo, tatizo linakuja pale watendaji wa Almashauri hizo wanapoamua kwa makusudi kabisa kuzifuja pesa hizo.
  Amini umaskini wa watanzania unachangiwa na watendaji wasio waadilifu katika Halmashauri zetu.
   
 16. malipula

  malipula JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hali ni mbaya kwa shule zote za serikali,majengo hayana maintanance na walimu pia hayana...tunachoweza ni kufuga kuku kwenye hayo majengo.Hivi serikali yetu inaweza kufanya jambo gani la maana?
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  kwani yeye mgeni wa chama tawala?
   
 18. M

  Magungu New Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A threat to the Govt. or to JK. Serious!? The problems mentioned here are not uncommon in our schools. He should be out of his senses. This is not the only school with these problems. Prudently, Hon. Mkono should take over all govt. schools in TZ.

  I would be more than happy to see this happen.
   
 19. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hoja inapingwa kwa hoja.

  Huna authority ya kumwambia mwenzio aache kiswahili kirefu na kuleta hoja ilhali wewe pia hujatoa hoja bali kiswahili kifupi.
   
 20. k

  kipimo JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawezi kuwa hahusiki kwani kazi ina maadili yake, hata kama hakupenda kwanini hakujitoa? kwani ilikuwa lazima awe yeye tu?
  kuna shida kwenye hii taaluma ya sheria ambapo wananchi wa kawaida kuipata haki ni vigumu sana kwani wengi wa mawakili wetu wanatengeneza uongo uwe ndo ukweli na kinyume chake!!!!!! hata hivyo hayo yana mwisho, na mwisho wake ni aibu kubwa kama inavyoelekea hapa!
   
Loading...