Mkono threatens to take over secondary school in Musoma

Mkono threatens to take over secondary school in Musoma

Mimi ninachoweza kusema ni kwamba huyu mzee Mkono anachohitaji hapo ni sifa na hasa kulinda maslahi yake. Ukitaka kuthibitisha hilo ebo jiulize ni Mkono huyuhuyu aliona kuwa kunauhitaji wa kujenga mashule Musoma Vijiji kama ndivyo hivyo kilichomfanya ashindwe kuendelea kuhudumia shule hiyo ni nini na kwa nini alikabidhi shule hiyo mikonono mwa serikali angali akijua yeye ni miongoni mwa walewale waliotuibia fedha zetu ukizingatia serikali yenye inasuasua kuleta maendeleo kwa watanzania. Alifanya hivyo kwa kujipendekeza kwa JK hana lolote.
 
Mkono threatens to take over secondary school in Musoma Send to a friend Thursday, 30 December 2010 21:47 digg

The Musoma Rural Member of Parliament, Mr Nimrod Mkono, has threatened to revoke the government ownership of Oswald Mang’ombe High School if serious measures will not be taken to rescue it from total collapse.

Mr Mkono threatened to revoke the ownership of the school during the launching of the school board on Tuesday. He said he was not satisfied with the way the school was being run.

Speaking to journalists at the school premises, Mr Mkono said: “I handed over the school to the government last year at a ceremony where President Jakaya Kikwete promised that his government would run it”

He said construction of the school, which is situated at Busegwe area in Musoma District, had cost him a lot of money and he was surprised by the way the government was running it.

He said currently the school has only five teachers who cannot meet the demands of students.
Apart from that no efforts were taken by the government to ensure that the buildings are maintained.

MY TAKE
Hivi huyu fisadi hii jeuri ya kuikaripia serikali inayomfaidisha, anaitoa wap?

Pesa,pesa,pesa.pesa.Hicho ni kiburi cha pesa za kifisadi.
 
Jamani ndugu zangu mlitaka mkono afanye nini anyamaze wakati shule haina walimu na inaharibiwa.
1. Kuhusu ukarabati: Ukarabati si pesa tu bali utunzaji kwa muda mfupi hivi shule hii isingehitaji ukarabati mkubwa lakini kama walimu hawakazanii utunzaji si ajabu kwa mwaka moja tu kukawa na uharibifu wa hali ya juu. Mfano shule za seminari hazifanyiwi ukarabati sana na ni shule zee lakini wanafunzi wanajua wakiharibu vitu watafukuzwa. Hivyo mkono kinacho mkasirisha navyoelewa ni kuona kama hakuna watu wanaojali. Hii siyo sifa kwani sifa alishaipata mwaka jana alipotoa shule.
2. Kuhusu ufisadi: Mkono akitoa shule au asitoe shule kuna watu watamwita fisadi hivyo ndugu zangu kama kuna Watanzania wenzetu wanatoa shule wanahitaji pongezi hata kama kazi wanazofanya zinaulakini. Kuna wazee wangapi wenye kashfa na hawatoi chochote.
3. Law firm: Nimeenda kwenye law firm ya huyu mzee, anasomesha watanzania wengi nje kwenye law firm yake, analipa kodi na kuajiri watu wengi sana. Ni kweli anacharge pesa nyingi kwa services lakini afathali huyu mzee hata pesa anazolipwa tunazijua hadharani. Mimi namsifu kwa uwazi huyu mzee alisema ana charge $800 kwa saa na alisema ana 25% share kwenye bank M na alisema ali invest 1.5M dollars. Huyu mzee ni mwazi kuliko watu wengi hivyo hata kama hatukubalianni naye tumpe credit ni mwazi kuliko wengine na wengine inawezekana wanafanya mabaya zaidi.
 
Si bora mkono hata kama ni fisadi ameamua kuwarejeshea watoto wa maskini kuliko mafisadi mengine ambayo hayana hata chembe ya huruma.
 
Jaman nimesomea Hapo hapo shulen Kwa Mzee Kati ya Mwaka 2010/2012 ile shule East Africa ni ya Tatu kwa uzur aisee ila Serikal haibaga mpango nayo kabisa ncho maana migomo ni ya kufikia pale
 
sisi tunawaza posho na masilahi binafsi

tuzijaji shule na huduma zingine za wananchi! so what ? Hayo ndio mawazo ya wakubwa!!
 
Back
Top Bottom