Mkombozi bank vs Stanbink bank

Mkombozi bank vs Stanbink bank

Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?

Tena lilikuwa ni azimio la kamati ya PAC na limefutwa kabisa, hapo sasa.

Ndiyo maana nasema hii kamati katika hili sakata imekosa uhalali. Huwezi kufuta maazimio kiholela. Ina maana yalikuwa ni uongo mtupu?
 
The bias was obvious and intentended from what they presented, binafsi kufukuza watu kazi kwa sababu ya mapendekezo yanayo tokana na kamati za wabunge sasa nimekosa nayo imani.

Naam, nilyasema kama hayo baada tu ya kusikia hoja za kamati. Uongo ulikuwa mwingi kuliko ukweli.
 
Naam, nilyasema kama hayo baada tu ya kusikia hoja za kamati. Uongo ulikuwa mwingi kuliko ukweli.
Uliyasema lakini for the most it was just common sense given the facts mapendekezo ya kamati hayaku make sense in the end.
 
Kama waliingia bank na magunia bank huwa kuna CCTV camera hivi PCC wameshindwa pata back up ya tarehe taja ili waondoe huu wizi. Maana kila MTU hataonekana alivebaje hayo manoti

Kuna mambo aliambiwa asiyataje. Rejea maelezo ya ZZK bungeni siku ya ijumaa.
 
1) kwanini benk ya mkombozi haijatajwa kama ni benk inayotakatisha pesa?
2) Pro tibaijuka alipata pesa kutoka mkombozi kwanini ameingizwa wakati mkombozi haikutajwa?
3) kwanini walio pata hizo pesa wote ni dini moja?
4) kama spika anahisi kuna waliochukua hongo bungeni kwann asiunde kamati kuchunguza?
5) kwanini jk alimchagua muhongo kutoka nje ya bunge inamaana aligundua bungeni hakuna mwenye uwezo?
6) Pinda alisema hakuna pesa za umma, muhongo nae alisema hakuna pesa za umma kwanini anatakiwa ang'oke mmoja?.
7) je unafikiri ktk mawaziri wote waliopita wa hii wizara nani amefanikiwa zaidi?
( short answer please!!!)

Umeuliza maswali ya msingi sana mkuu,
Mimi nilipokua nafuatilia huo mjadala bungeni, nilishtushwa na reporti ya Mbowe kwamba Gavana wa Benki Kuu aliiandikia Ikulu, kuhusu uamuzi wa kutoa hizo pesa na Ikajibu kwamba muamala ufanyike kama alivyoagiza Mwanasheria mkuu wa serikali, hadi hapo, nafikiri utakua umepata picha suala la ganzi au kupooza kwa serikali kunatokana na kitu gani.
 
Huko Stanbib zilitoka 73b cash,yaani not za elfu kumi kumi milioni 7.3 ambazo uzito wake wake ni karibia tani tano! hapo cjui walitumia fuso kubeba?

Kuna swala la kujiuliza kuhusu kiwango cha CASH mteja wa bank anaruhusiwa kudraw kutoka bank, kuna watu humu wanasema ni million 10, mimi nasema hapana, kwani in practice watu wengi wanafanya miamala ya cash zaidi ya 10million, hapa inabidi bankers watupe sheria hiyo inasemaje, kwani kama mtu anataka kudrwal cash kwenye account yake kwanini awekewe kiwango? mbona mtu akitaka kudiposit cash kiwango chochote hazuiwi? iweje akitaka kudraw azuiwe?. Chukulia mfano watu wanaofanya biashara za Cash Zaidi kama vile minadani, n.k wao watahitaji cash kiasi kikubwa sana, pia watu wanaonunua madini migodini, huwa wanabeba cash, kama 10million ndio kiwango cha juu, je wangeweza kufanya biashara?
 
Kuna swala la kujiuliza kuhusu kiwango cha CASH mteja wa bank anaruhusiwa kudraw kutoka bank, kuna watu humu wanasema ni million 10, mimi nasema hapana, kwani in practice watu wengi wanafanya miamala ya cash zaidi ya 10million, hapa inabidi bankers watupe sheria hiyo inasemaje, kwani kama mtu anataka kudrwal cash kwenye account yake kwanini awekewe kiwango? mbona mtu akitaka kudiposit cash kiwango chochote hazuiwi? iweje akitaka kudraw azuiwe?. Chukulia mfano watu wanaofanya biashara za Cash Zaidi kama vile minadani, n.k wao watahitaji cash kiasi kikubwa sana, pia watu wanaonunua madini migodini, huwa wanabeba cash, kama 10million ndio kiwango cha juu, je wangeweza kufanya biashara?

Uko sahihi mkuu, iko hivi hicho kiwango cha TZS 10,000 au USD 10,000 ni kwa ajili ya malipo ya hundi tu. Hivyo ndivyo nnavyofahamu mimi. Malipo yeyote yanayozidi USD 10,000 au TZS 10,000 inabidi yafanyike kwa TISS (njia ya ki electronic/ Electronic Fund Transfer). Kwa muktadha huo, si kweli kwamba mteja hawezi kuchukua cash zaidi ya TZS 10,000 kutoka kwente akaunti yake (chukulia mfano wale wenye maduka ya kubadilishia pesa za kigeni).

Tatizo lingine lina hapa linajitokeza, kila benki ina kiwango chake cha kuwa na pesa cash ambazo inatakiwa kuwa nazo na hicho kiwango kinapangwa na BoT kutokana na ukubwa wa benki husika. Kwa maana hiyo haingewezekana benki kuwa na cash kiasi chote hicho bila kwenda kuchukua BoT, kuna uwezekano mkubwa BoT walikua wanajua nini kinaendelea. Huo ni mtazamo wangu.
 
Hivi tujiulize kama pesa ilitoka BOT ikiwa safi inakuwaje chafu pale inapotoka stanbink au Mkombozi? kuna watu wanakwepa dhamana hapa? labda kwa kubebana au?
 
Mkuu kuna kitu unataka kusema sio?
mkuu nina vitu vingi tu ninavyoviona na vya kusema kwenye hili (sorry kama litakugusa);
-hiyo ni taasisi ya kiroho n ukiona wahusika wa hiyo scandal ni kuanzia viongozi mpaka waumini wa taasisi husika
-pili, ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi hii kuanzia uhuru mpaka leo yako mikononi kwa wakristo, kwa maana ya maamuzi mengi kwenye idara mbalimbali wanaamua wao kwani ni zaidi ya 70% ya waajiriwa tena kwenye nafasi mbalimbali. lakini mpaka leo hii nchi hii ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani. hakuna cha maana wanachokifanya kwa taifa hili zaidi ya kuliibia. leo hii wamefikia hatua ya kupitishia mpaka hela kwenye benki ambayo kiuhalisia haikutakiwa kabisa kuhusishwa na upuuzi huu.
nadhani we need to do more kwa ajili ya nchi yetu. kuna wengine pengine wanawaona binaadamu wengine kama sio watu kwa hiyo hata wakiwaibia sio tatizo. kitu ambacho binafsi siamini hata kidogo kweli kama dini yangu (au hata rangi au kabila) inaweza kuwa justification ya kuwadhulumu watu wengine.
labda nikatishe tu kwa kusema kama imani yangu hainikatazi kuhusu kudhulumu wengine kwa sababu tu pengine yatofauti tulizonazo za kiimani n.k basi siihitaji hiyo imani kabisa ni bora nibaki hivi hivi kuliko kuwa na hiyo imani.
 
Naamini zile bilioni 73 zilizotoka kwa cash within 2 days,kwenye viroba na magunia ya lumbesa, pale Stanbic bila kudislose, majina ya walipwaji, ambayo ni ukiukwaji wa hali ya juu wa taratibu za BoT, ambao hauruhusu transaction yoyote inayozidi kuwithdraw more than 10 million in cash.

Hiyo ndiyo sababu iliyopelekea, Mwenyekiti wa PAC , Zitto Kabwe, alielezee tukio hilo kuwa linawezekana tu kutokea kwenye nchi ambayo mifumo yake ya kiutawala,itakuwa imecollapse, kama vile Somalia.

Sasa hapo ndipo linapokuja swali kubwa kuwa, ni kitu gani kilichofanya vyombo vyote vya ulinzi na usalama, vishikwe na ganzi na kigugumizi katika kulidhibiti tukio hilo siku hizo 2, kama siyo kwa the highest office in our country, 'kulibariki ' tukio hilo?!

Kwa kuwa hakuna siri inayoweza kudumu, inayoimvolve mtu zaidi ya mmoja, naamini kabisa ipo siku, hili suala la ubebaji wa noti kwa viroba na magunia ya lumbesa pale Stanbic, ni lazima one day litakuja bumbuluka tu lazima!

Yaani hapa najiuliza kuwa CCTV zilikuwa hazifanyi kazi siku hiyo.?
Nimekosa jibu
 
ile sakata la mwanasheria kijana wa tanesco aliyeandika barua ya kuacha kazi inasemekana kunamtu alimlazimisha aandike barua hiyo na ni mjumbe wa bodi ya tanesco ni nani huyo mtu naomba mnijuze wakubwa

victor mwambalaswa,mbunge wa chunya mbeya.
 
Hii ni hukumu Ya Mungu baada Ya mud a mfupi jambo hili halitakuwa siri tena kuna watu watavaa kofia za kininja kuwataja wahusika na aibu hii bila kujali hadhi zao maana ni hukumu Ya Mungu dhidi wanyonge Wa nchi hii
 
Back
Top Bottom