Watu
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,472
Kutokana na mambo kama haya ya makosa yaleyale kuwa interpreted tofauti ndio sababu nchi za wenzetu huwa wanafanya review after the outcome of a political wrangle hili kuweza kuboresha maamuzi ya baadae whilst handling similar future situation.
Sisi atuna utaratibu huo lakini nadhani the whole thing was handled wrongly from the beginning. From get go there was a political influence mistrust from both parties and in the end even the CAG report failed to elaborate clearly on what transpired and concern of the matter if the funds belonged to the government or the benefited parties? Thus allowing the PAC to be all over due to the fact the report itself lacked clear interpretation.
Kamati ya bunge imetoa mapendekezo ambayo yana mashaka to an extent fuelled with adversarial politics: both party competition and personal vendetta towards the accused (a reason enough not to use any more parliamentary committees in the future to decide the fate of other politicians they themselves have competing views with) na hii sio mara ya kwanza kutokea ripoti ya Mwakyembe ilileta mzozo, ripoti ya kamati na Nishati na madini ilileta mzozo na watu kufukuzwa kama akina Kagasheki, ripoti sijui gani ile iliyowang'oa akina Omary Nundu and the list goes on. Huu utaratibu aufai na umekuwa ukitumika kusukuma agenda za kimaslahi au kulipiza kisasi kama report ya PAC ilivyodhihirisha; bila ya kusahau ripoti ya CAG kushindwa kuja na majibu sahihi kwa sababu ilikuwa out of depth kwenye maswala ya sheria.
Kitu ambacho nimefatilia ripoti nyingi za nchi za wenzetu zinafanywa na independent bodies kutoka sector ya Mahakama kwa sababu matendo mengi ya serikari yanamwongozo wa kisheria za bunge na mahakama ndio yenye uwezo fasaha wa ku-interpret sheria. Ndio maana hata CAG kashindwa kuja na hitimisho lisilo na shaka la kisheria kuhusu mzozo karudi tu na mambo ya kubahatisha bahatisha lakini hakuna usahihi wa nini haswa kilichotokea kisheria na kama hela ni ya serikari au ya wabia.
In the future political wrangles inabidi zitafutiwe independent bodies tena ambazo raisi anaunda kama alivyofanya kwenye kamati ya katiba kuchunguza. Maana sasa watu wamekuwa awaaminiki na too much personal interest kama ilivyojiyokeza hapa na kwengine nyuma. Ni bora ziundwe tume ambazo members are notified unexpectedly to uncover the truth na bunge lijadili kwa mwongozo huo kamati za bunge zimekuwa za kihuni sana na aziaminiki tena kwa sasa kama watenda haki.
Rushwa ya Qatar huko fifa imechunguzwa na parliament select committee unataka tueleza nini?
ref: http://m.bbc.com/sport/football/27652181
na huwo mfumo wala sio wetu umewekwa na hao hao wanao wafadhili.