Mkombozi bank vs Stanbink bank

Mkombozi bank vs Stanbink bank

Mkombozi nao walitoa 3b cash. kwa nini hawajatajwa?
Mkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu wamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda mkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.
 
Mkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu woamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda imkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki

kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.
Mkuu kibona hapa nimekupata vilivyo sababu ya mkombozi kuachwa thanks
 
Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa whayajafahamika.
Mbona wanasema kuna cash kama 3b ilitoka?
 
hakuna mwenye majibu sahihi si BOT,MKOMBOZI ,STANBIC ,PAC,TAKUKURU WALA CAG anayejua ni Profesa TD
 
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?


Ikumbukwe kwamba Mkombozi bank walihakikisha pesa hiyo ilipiwe kado kabla ya kuchukuliwa na jambo ambalo lilifanyika, Hilo linaweza kuipa bank nafueni, ujuavyo jambo mojawapo linalolalamikiwa ni pesa hizo kutolipiwa kodi.
 
Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa hayajafahamika.

Jamaa inaonyesha ni mjanja kweli baada ya kuchukua akatafuta dollar haraka haraka akaachana na madafu ndio maana kuanzia Mwezi wa nane shilingi yetu imekimbizana na dollar ile mbaya ImageUploadedByJamiiForums1417341764.418127.jpg
 
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?
mkombozi walitoa kwa mkupuo tsh 3.3bil. lakini hata hivyo ni bank takatifu inayotumika kwa jina la mungu. sio ya kaisari hiyo.
 
Huko Stanbib zilitoka 73b cash,yaani not za elfu kumi kumi milioni 7.3 ambazo uzito wake wake ni karibia tani tano! hapo cjui walitumia fuso kubeba?

La! Mkuu elfu kumi kumi tani tano? Nimecheka sana.
 
mkombozi walitoa kwa mkupuo tsh 3.3bil. lakini hata hivyo ni bank takatifu inayotumika kwa jina la mungu. sio ya kaisari hiyo.
Mkuu kuna kitu unataka kusema sio?
 
Mkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu wamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda mkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.

Mkuu kibona hapa nimekupata vilivyo sababu ya mkombozi kuachwa thanks

Zanta, na wewe unakubaliana na majibu ya Kibona!
Swali lako lililoeta mada lilikuwa safi. Benki zilizotajwa tangu mwanzo mwa mzozo ni mbili tu yaani Mkombozi na Stanbic. Tena ukumbuke kwamba Mkombozi imekuwa controversial sana kwa sababu ni ya Kanisa na pili ndiyo yenye list ya majina ya akina Tibaijuka, Kilaini, Nzigilwa na wengine.

Hivyo, kuhusuana na majina ya benki, Mkobozi ilijaa modomoni mwa watu kuliko hata Stanbic.

Sababu ya pili ingawa si ya muhimu sana ni kwamba Stanbic hata ingefanya uharamia zaidi ya huu, inajulikana ni benki ya kibiashara zaidi kwani uhuni wa benki za namna hii si kitu cha ajabu. Uajabu ni kuhusishwa kwa benki ya Kanisa, tena Kanisa Katoliki.

Hivyo, ubora wa swali lako ni kwamba kwa nini Mkombozi Bank iongoze kutajwa wakati wa tuhuma, halafu mwishoni isitajwe iishie kufumbiwa kwamba "na benki zingine".

Neno "na benki zingine" lingetumika baada ya kutaja zote mbiliMkombozi na Stanbic, maana hizi zimejadiliwa sana, tena Mkombozi ni zaidi, kuliko zingine zinazokuja kuibuka siku ya mwisho ya mjadala, tena siku ya hukumu.

Natumaini imeeleweka.
 
Kutokana na mambo kama haya ya makosa yaleyale kuwa interpreted tofauti ndio sababu nchi za wenzetu huwa wanafanya review after the outcome of a political wrangle hili kuweza kuboresha maamuzi ya baadae whilst handling similar future situation.

Sisi atuna utaratibu huo lakini nadhani the whole thing was handled wrongly from the beginning. From get go there was a political influence mistrust from both parties and in the end even the CAG report failed to elaborate clearly on what transpired and concern of the matter if the funds belonged to the government or the benefited parties? Thus allowing the PAC to be all over due to the fact the report itself lacked clear interpretation.

Kamati ya bunge imetoa mapendekezo ambayo yana mashaka to an extent fuelled with adversarial politics: both party competition and personal vendetta towards the accused (a reason enough not to use any more parliamentary committees in the future to decide the fate of other politicians they themselves have competing views with) na hii sio mara ya kwanza kutokea ripoti ya Mwakyembe ilileta mzozo, ripoti ya kamati na Nishati na madini ilileta mzozo na watu kufukuzwa kama akina Kagasheki, ripoti sijui gani ile iliyowang'oa akina Omary Nundu and the list goes on. Huu utaratibu aufai na umekuwa ukitumika kusukuma agenda za kimaslahi au kulipiza kisasi kama report ya PAC ilivyodhihirisha; bila ya kusahau ripoti ya CAG kushindwa kuja na majibu sahihi kwa sababu ilikuwa out of depth kwenye maswala ya sheria.

Kitu ambacho nimefatilia ripoti nyingi za nchi za wenzetu zinafanywa na independent bodies kutoka sector ya Mahakama kwa sababu matendo mengi ya serikari yanamwongozo wa kisheria za bunge na mahakama ndio yenye uwezo fasaha wa ku-interpret sheria. Ndio maana hata CAG kashindwa kuja na hitimisho lisilo na shaka la kisheria kuhusu mzozo karudi tu na mambo ya kubahatisha bahatisha lakini hakuna usahihi wa nini haswa kilichotokea kisheria na kama hela ni ya serikari au ya wabia.

In the future political wrangles inabidi zitafutiwe independent bodies tena ambazo raisi anaunda kama alivyofanya kwenye kamati ya katiba kuchunguza. Maana sasa watu wamekuwa awaaminiki na too much personal interest kama ilivyojiyokeza hapa na kwengine nyuma. Ni bora ziundwe tume ambazo members are notified unexpectedly to uncover the truth na bunge lijadili kwa mwongozo huo kamati za bunge zimekuwa za kihuni sana na aziaminiki tena kwa sasa kama watenda haki.
 
kutokana na mambo kama haya ya makosa yaleyale kuwa interpreted tofauti ndio sababu nchi za wenzetu huwa wanafanya review after the outcome of a political wrangle hili kuweza kuboresha maamuzi ya baadae whilst handling similar future situation.

Sisi atuna utaratibu huo lakini nadhani the whole thing was handled wrongly from the beginning. From get go there was a political influence mistrust from both parties and in the end even the cag report failed to elaborate clearly on what transpired and concern of the matter if the funds belonged to the government or the benefited parties? Thus allowing the pac to be all over due to the fact the report itself lacked clear interpretation.

Kamati ya bunge imetoa mapendekezo ambayo yana mashaka to an extent fuelled with adversarial politics: Both party competition and personal vendetta towards the accused (a reason enough not to use any more parliamentary committees in the future to decide the fate of other politicians they themselves have competing views with) na hii sio mara ya kwanza kutokea ripoti ya mwakyembe ilileta mzozo, ripoti ya kamati na nishati na madini ilileta mzozo na watu kufukuzwa kama akina kagasheki, ripoti sijui gani ile iliyowang'oa akina omary nundu and the list goes on. Huu utaratibu aufai na umekuwa ukitumika kusukuma agenda za kimaslahi au kulipiza kisasi kama report ya pac ilivyodhihirisha; bila ya kusahau ripoti ya cag kushindwa kuja na majibu sahihi kwa sababu ilikuwa out of depth kwenye maswala ya sheria.

Kitu ambacho nimefatilia ripoti nyingi za nchi za wenzetu zinafanywa na independent bodies kutoka sector ya mahakama kwa sababu matendo mengi ya serikari yanamwongozo wa kisheria za bunge na mahakama ndio yenye uwezo fasaha wa ku-interpret sheria. Ndio maana hata cag kashindwa kuja na hitimisho lisilo na shaka la kisheria kuhusu mzozo karudi tu na mambo ya kubahatisha bahatisha lakini hakuna usahihi wa nini haswa kilichotokea kisheria na kama hela ni ya serikari au ya wabia.

In the future political wrangles inabidi zitafutiwe independent bodies tena ambazo raisi anaunda kama alivyofanya kwenye kamati ya katiba kuchunguza. Maana sasa watu wamekuwa awaaminiki na too much personal interest kama ilivyojiyokeza hapa na kwengine nyuma. Ni bora ziundwe tume ambazo members are notified unexpectedly to uncover the truth na bunge lijadili kwa mwongozo huo kamati za bunge zimekuwa za kihuni sana na aziaminiki tena kwa sasa kama watenda haki.

you're very intelligent,bado tuna sehemu kubwa ya wanajamii ambao uelewa wao upo chini na wana ushawishi,ni hatari.pac walikuwa na ajenda zao binafsi na hata baadhi ya wabunge.tunahitaji kufanya na kuamua kisayansi, vitu vinavyohitaji facts hamwezi kuvi-handle kwa utaratibu wa kura au eti maridhiano.watu wanalipa visasi na kwa utaratibu huu siasa zetu zitaendeshwa na wajinga mana wenye akili hawatajihusisha nazo na hapo taifa litazidi ku9ama.
 
Kwa hiyo huko inawezekana ndiko walikolipiwa wale wa magogoni, Waziri Muhongo, Pinda, Nduru, Maswi na wengine ambao majina yao hayajaonekana lakini wamehusika kuzitafuna hizi fedha

Ndiyo mkuu kina Prof tezi dume ndiyo walizibeba kwenye magunia, viroba na maguta.
 
1) kwanini benk ya mkombozi haijatajwa kama ni benk inayotakatisha pesa?
2) Pro tibaijuka alipata pesa kutoka mkombozi kwanini ameingizwa wakati mkombozi haikutajwa?
3) kwanini walio pata hizo pesa wote ni dini moja?
4) kama spika anahisi kuna waliochukua hongo bungeni kwann asiunde kamati kuchunguza?
5) kwanini jk alimchagua muhongo kutoka nje ya bunge inamaana aligundua bungeni hakuna mwenye uwezo?
6) Pinda alisema hakuna pesa za umma, muhongo nae alisema hakuna pesa za umma kwanini anatakiwa ang'oke mmoja?.
7) je unafikiri ktk mawaziri wote waliopita wa hii wizara nani amefanikiwa zaidi?
( short answer please!!!)
 
Jambo lingine lisilozungumzwa ni juu ya watumishi wa hizi bank hasa stanbic tuloambiwa wamefukuzwa kazi.Je ni kweli yule jamaa wa G8 Bashiru cjui nani amefukuzwa?
 
Back
Top Bottom