monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,486
- 13,017
Habar za muda huu ndg wanajamvi,
Nimeona ni vema nianzishe Uzi maalum kwaajili ya kutazama harakati za m2 mweusi ktk kuupigania/demokrasia,kuanzia kipnd cha Mkoloni mweupe hadi kipind cha Mkoloni Mweusi
Mnamo miaka ya 1960's,kilikuwa ni kpnd cha Uhuru (kupigania Uhuru ktk Bara la Afrika) huku Ghana ikijipatia Uhuru mwaka 1957,Tanganyika 1961 na nchi nyingine nyingi zilipata Uhuru ndani ya miaka hyo ya 1960's
Lkn kwa bahati mbaya hata Waafrika wakati wanadai Uhuru walio wengi hawakuwa na tafsiri sahihi kuhusiana na neno 'UHURU',pia walio wengi hawakujua ni kwanini walikuwa wanapigania Uhuru
SABABU ILIYOFICHIKA;KWANINI WAAFRIKA WALIPIGANIA UHURU
Wazungu walipofka ktk Bara la Afrika walianzisha shule mbalimbali mfano Tabora boys na Mazengo Sec' na nyinginezo nyingi pamoja na vyuo vikuu ( mfano Makelele)
Lengo ilikuwa ni kutoa/kuwapatia watoto wa machief elimu,kwa kupitia fursa hii watoto au wajukuu wa baadhi ya machifu na Waafrika wachache walipata nafasi ya kusoma mpaka ng'ambo ( mfano Julius Nyerere,alikuwa Mjukuu wa Chief Burito)
Vjana hawa baada ya kuwa wameelimika ( early elites),wengi wakaingiwa na tamaa au uchu wa madaraka na ndpo hapo walipoanza kuwa- mobilize/pressurize Waafrika wenzao kudai Uhuru,lkn lengo la watu hawa halikuwa Uhuru tu pekee bali walihitaji kutawala na wasingeweza kutawala na wazungu wakiwepo
Kwa hyo wakaanzisha vuguvugu la kuwaondoa wazungu na kupandkiza mawazo mabaya kwa Waafrika wenzao ( To impose negative mentality to their fellow Africans about Whites),ikafikia mahali Waafrika wakaamini kuwa Wazungu ni watu waovu,wanyonyaji,watesaji,wadhalilishaji na wanaowatesa Waafrika... Lkn ukweli ulifichwa kama nilivyosema hapo awali " Waafrika wachache walikuwa wanahtaji kuwatawala,kuwanyanyasa na kuwanyonya Waafrika wenzao na wasingeweza kufanya hayo na wazungu wakiwepo"
Hatimaye Wazungu waliondoka na kurudi kwenye nchi zao japo baadae waliitwa na watawala na kurudi tena kama wawekezaji,lkn this time wao walihusika na masuala ya uchumi tu
Hapa ndipo 'CHANZO CHA KUIBUKA KWA MKOLONI MWEUSI'
Ukitaka kuijua habari hii vzur,soma Shairi la 'ALMANDO GUEBUZA,shairi linaitwa VULTURE'
SIFA ZA MKOLONI MWEUSI
Zifuatazo ni sifa za kufanana za Wakoloni Weusi ndani na nje ya Bara la Afrika
1.Wanang'ang'ania madarakani kwa;
A)Kutafsir katiba,mfano Nkurunziza alitafsiri katba,baada ya muda wake kuisha aliwaambia wananchi "muhula wa kwanza wa kpnd changu nilichaguliwa na Bunge,muhula wa pili mlinichagua ninyi wananchi...sasa muhula wa kwanza niliochaguliwa na Bunge tusiuhesabu,kwa hyo inabidi nishiriki uchaguz mwingine ili niwe na vpnd viwili vya kuchaguliwa na wananchi"
B)Kubadilisha katiba ( refered to Kagame)
2.Wanategemea zaidi majeshi na tume za uchaguzi kubaki madarakani na siyo kura za wananchi
3.Kwenye nchi zao wanazotawala huwa kuna mauaji,watu kutekwa na kupotea hasa wapinzani wao
4.Hawapendi vyombo vya habar kuripoti habar mbaya ambazo wanajua zitawapunguzia credibility kwenye jamii zao lkn pia kwenye jamii za kimataifa
5.Nchi zao huwa zinaambatana na kushuka kiuchumi ( fedha kukosa thamani,uhaba/kutokuwepo kwa ajira)
Sifa zpo nyingi lkn nimeona ni vema niwasilishe hizo chache
WITO WANGU KWA WANCHI
Huu ndyo muda wa kulipigania tena Bara la Afrika na kumuondoa Mkoloni mweusi ili Waafrika waweze kulifurahia Bara lao
Tukutane 26/04/2018 kusheherekea Muungano kwa akili na nafsi zilizounganika
Asanteni!