Msanii aliyekuwa kundi la Wagosi wa Kaya ameeleza uhasama kati ya Ruge na Sugu, na suala la mipango ya awali hadi kuwepo studio ya muziki kwa wasanii wa tzz
Msanii huyo waliowika na vibao vingi vyenye kueleza ukweli na hali halisi ya mtz pia alizungumzia ujio wa antivirus vol II ikiwa na ukweli
source: swahilioriginaltz.com
tunajua lakini cha ajabu kuna wasanii wana muona sugu mhuni wakati anawatetea...mkoloni tunaisubiri hiyo ant-virus IIlitapita, lakini uzuri mpaka sasa wengi tunaujua ukweli<br />
<br />
jinsi vijana wa bongo fleva wanavyowatajirisha mapromota huku wao wakibakia kapuku
tunajua lakini cha ajabu kuna wasanii wana muona sugu mhuni wakati anawatetea...mkoloni tunaisubiri hiyo ant-virus II
ccm na wasanii wa bongo<br />
<br />
nani hao tena???
Kuwatetea ni sahihi....Tatizo lipo kwenye namna anavyowatetea....KUNA HAJA GANI KUTUKANA...........AU......... kutaja u-positive HIV wa mtu..!!! Njia anazotumia zinaharibu dhana nzima ya UTETEZIkuwalipia hela ya studio, alafu waki-hit wanyonywe itasaidia?? (acha mtazamo finyu)
anajaribu kuwafumbua macho ili kupambana na mzizi wa tatizo