Mkoloni: Antivirus vol. II inakuja na ukweli

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
843
Msanii aliyekuwa kundi la Wagosi wa Kaya ameeleza uhasama kati ya Ruge na Sugu, na suala la mipango ya awali hadi kuwepo studio ya muziki kwa wasanii wa tzz

Msanii huyo waliowika na vibao vingi vyenye kueleza ukweli na hali halisi ya mtz pia alizungumzia ujio wa antivirus vol II ikiwa na ukweli

source: swahilioriginaltz.com
 
Kweli kabisa, na hili nalo litapita.!
 
Niliskia mkoloni anatarajia kuwa mtangazaji,,,,,kwa aliyewah kumsikia anatangazia redio gani??????
 
litapita, lakini uzuri mpaka sasa wengi tunaujua ukweli<br />
<br />
jinsi vijana wa bongo fleva wanavyowatajirisha mapromota huku wao wakibakia kapuku
tunajua lakini cha ajabu kuna wasanii wana muona sugu mhuni wakati anawatetea...mkoloni tunaisubiri hiyo ant-virus II
 
nikiipata tu ntajaribu kuiweka pale jukwaa la store kwani nahasira kama nimemwagiwa maji maji ya betri..
 
Sipati picha hiyo september 11 2011 ambapo sugu ndo anaitoa hiyo Mixtape Ant-virus Vol I Part 2....
 
tunajua lakini cha ajabu kuna wasanii wana muona sugu mhuni wakati anawatetea...mkoloni tunaisubiri hiyo ant-virus II

kumpinga Sugu leo kutamfanya ajulikane bila kuangalia madhara yake akiamka kesho

tatizo la hawa watoto hawajui walitendalo

wao kinacho-matter ni umaarufu wakumpatia show mbili tatu za fiesta
 
Wanafikiri kuwa super staa anapimwa kwa wingi wa mademu!!!!!!.
Tatizo hawana shule Kichwani ,lazima wapate mtu wa kupigania haki zao
 
Mkolloni tuletee il tuelewe how the real situation is!!!
 
Madogo wanampoteza Mheshimiwa! Apunguze time nao, ka anawapenda sana awalipie hela ya studio inatosha....
 
ka anawapenda sana awalipie hela ya studio inatosha....

kuwalipia hela ya studio, alafu waki-hit wanyonywe itasaidia?? (acha mtazamo finyu)

anajaribu kuwafumbua macho ili kupambana na mzizi wa tatizo
 
kuwalipia hela ya studio, alafu waki-hit wanyonywe itasaidia?? (acha mtazamo finyu)

anajaribu kuwafumbua macho ili kupambana na mzizi wa tatizo
Kuwatetea ni sahihi....Tatizo lipo kwenye namna anavyowatetea....KUNA HAJA GANI KUTUKANA...........AU......... kutaja u-positive HIV wa mtu..!!! Njia anazotumia zinaharibu dhana nzima ya UTETEZI
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom