Mkoa wa Tabora upunguzwe ukubwa

Mkoa wa Tabora upunguzwe ukubwa

Wana taka mkoa uitwe manonga,na wako walotaka mkoa uitwe nzega,ilikua ni mgogoro haswa ndo maana selikali ikasitisha kuugawa mkoa.
Yeah,mkoa utaitwa manonga,waliogoma mkoa kuitwa nzega wagonjwa akili, sababu igunga ilikua sehemu ya nzega,bukene na ndala mpaka Leo no nzega
 
Hatupunguzi

Sent from my Samsung Galaxy A13
 
Mkoa wa Tabora ni mkubwa sana! Kuna vijiji hata mkuu wa mkoa amalize muda wake kuvifikia ni ngumu.

Mkoa wa Tabora mkiupunguza na kutengeneza mikoa mtasaidia kufikisha huduma, leo nimeshangaa kuona watu Tabora kama Kaliua wakija Kahama kupata huduma ya afya.

Tabora kuna wahamiaji wengi wamejificha huko ususani warundi, wanyaruanda na wakongo, kuna vijiji na mapori mengi mpaka kuna sehemu huduma ni ngumu kufikia.

Serikali tambueni ili.
Kabla ya kuugawa mkoa wapambane kwanza wa pate jiji.maana miji makomakuu ya kanda kalibu yote ni majiji kasolo tabora na mtwara.tabora ipambanie vigezo ikiwa hivyohivyo maana uki ugawa mkoa kuna population kubwa haita kuja tena tabora mjini kupata huduma ivyo ita pungiza mzunguko wa fedha,ushauli wangu waanze kwanza alakati za kulisaka jiji kabla ya kuugawa mkoa.
 
mbona mkoa wa pwani na manyara inawezekana? Kutoka simanjiro kwenda babati ni lazima uingie moshi uelekee arusha kisha ufike babati kwa gari. Any way sikonge iko kusini na katikati kuna wilaya nyingine ambayo iko karibu na nzega isiwe taabu hiyo wilaya iungane upande wa nzega ili kukamilisha idadi ya watu wanaofanya sifa ya kupatiwa mkoa
Kwa hiyo unaona hayo makosa yaendelee kujirudia ?
 
Ukiona stracture ya namna hii ndo ujue isaka station,ukiona haiko ivyo ujue iyo nistation ndogo2 inajengwa.by ze way ntungulu iko isaka hawawez kujenga station ya namna hii katkat ya zilenyumba pale isaka,lazma waitoe nje ya mji.kama walivyo fanya moro,na dom.we mwenyewe huna uhakika ndo maana una sema inasemekana.
Nitapata wapi pdf yenye hii michoro and infors za SGR Mza-Isaka?
 
Hivi morogoro mnaijua vizuri kweli wadau? Kutoka moro mjini mpaka mlimba ni kilomita 395.hapo utaona namna gani watu wanapata ugum wa kufuata huduma za kijamii. waangalie na huu mkoa ase

Sasa toka morogoro mjini ifafute mahenge ulanga huko ndio utajua ,nilipelekwa shule na mama alilia mwenyewe
 
Uyui,kaliua igunga na nzega hizi wilaya ziunde mkoa mpya na makao makuu ya mkoa yawe nzega
Hyo igunga yenyewe inatosha kuwa mkoa....nafikir kwa mkoa kama Kilimanjaro unaingia kwa igunga mara mbili kabisa
 
Mkoa wa Tabora ni mkubwa sana! Kuna vijiji hata mkuu wa mkoa amalize muda wake kuvifikia ni ngumu.

Mkoa wa Tabora mkiupunguza na kutengeneza mikoa mtasaidia kufikisha huduma, leo nimeshangaa kuona watu Tabora kama Kaliua wakija Kahama kupata huduma ya afya.

Tabora kuna wahamiaji wengi wamejificha huko ususani warundi, wanyaruanda na wakongo, kuna vijiji na mapori mengi mpaka kuna sehemu huduma ni ngumu kufikia.

Serikali tambueni ili.
Ni kweli, kuna kijiji nilishawahi kufika kinaitwa Kinin'ginila yaani ni mapolini kbs ....haya nenda uko Kashishi, Ulyankuru ni mbali sana kutoka Tabora Mjini .....kuna gari inaitwa mtoto Gema uki ikosa hiyo[emoji1787][emoji1787]ndio basi
 
Ngoja tuone...

Wilaya ya Kaliua inapakana na mkoa wa Kigoma na ni km 301 kufika Kigoma ingawa unapitia Wilaya za Uvinza,Kigoma vijiji na Ujiji.
Kaliua inapakana na mkoa wa Shinyanga hivyo wananchi wa Kaliua na Ulyankulu hufuata huduma za kijamii Kahama.
Sikonge inapakana na Wilaya za Chunya Mbeya pia Wilaya ya Itigi Singida.
Igunga inapakana na Mkoa wa Singida.
Nzega inapakana na mkoa wa Shinyanga.
Nadhani kidogo nimefafanua na unaona jinsi mkoa huu ulivyokuwa mkubwa.
 
Exactly
 
Back
Top Bottom