Wananchi wanahitaji service delivers SIO utitiri wa mikoa au wilaya nchi hii ilitakiwa iwe na mikoa 8 tu,ukubwa wa serikali yetu ni mkubwa mno,Zimbabwe wana chini ya 15 Botswana chini ya 15,Zambia chini ya 15,Namibia [emoji1176] chini ya 15,na nchi zote hizi hazitofautiani sana na ukubwa wa nchi na Tanzania yetu hii,na nchi zote hizo zinapiga hatua kimaendeleo kuliko sisi wenye mikoa zaidi ya 25 na wilaya zaidi ya 100 huu ni upuuzi, huku lingusenguse tunahitaji huduma bora za kielimu maji, matibabu, usafiri etc etc sio kuniongezea kodi nyingine ya kulipa watumishi wa mkoa mpya