KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu.
Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...
Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..
Jiji la pili kwa ukubwa Nchini.
Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni.
Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...
MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...
Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI, HAYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...
KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI
KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....
KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....
NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE