Mkoa wa Mwanza na changamoto zake: Usafiri jijini ni kikwazo kikubwa

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu.

Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...

Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..

Jiji la pili kwa ukubwa Nchini.

Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni.

Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...

MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...

Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI, HAYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...

KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI

KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....

KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....

NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE
 
Icho ni saw kabsa ila pia ata watu wetu wa Rock City bado wamelala sana hawatumii hizo changamot kama nisehem ya kupig ela
Mfano kama unakumbuk baada ya daladal za M/Tisa kuwa nying ndipo walipo ona waanze kwenda Nyasak msumbiji
 
Mambo mengine ni Ya ajabu Sana mfano gari za kutoka mjini kwenda Maduka Tisa yanapita Capri Point lakini jiulize yanaenda kufanya nini uko....Hakuna kituo cha daladala uko hata kimoja gari inazunguka tuu inarudi pale pale
 
Mwanza ina shida kubwa ya Maumbile ya Ardhi yaani Milima, Uwepo wa Ziwa Victoria na Hivyo eneo kubwa ni Bonde la Kilimo cha Mpunga/Tope na hatimaye inakuwa ngumu sana kwa Ujenzi wa Miundombinu ukiweka na Changamoto ya Ujenzi holela kutokana na Ubovu wa Kitengo cha Mipango Miji. Kubali kataa eneo lote la Kirumba halifai kwa Makazi maaana ni bondeni palipokuwa pakilimwa Mpunga, Nenda Kisesa, Buhongwa, Airport huko mpaka Kayenze ardhi tope tope tu.
Tukubali kwamba Ilikosewa Tangu Ukoloni kuweka Mji katika eneo hilo kwa uwezo wetu wa Technolojia na Kiwango chetu cha Uchumi. Ilitakiwa Mwanza pawe na Boats, pawe na Barabara za Chini ya Milima na Chini ya Ziwa lkn waaaapi!
Tuvute subira huenda miaka 50 ijayo watoto wetu wanaosoma China leo watafanya mapinduzi ya Miundombinu.
 
Hapa ni kumbebesha lawama Mkuu wa Mkoa ambazo hata hazimhusu. Tatizo lipo kwa wakurugenzi wa Jiji na Manispaa ya Ilemela pamoja na Mabaraza yao ya Madiwani.

Ila naimani miaka hii mitano yatafanyika makubwa kwenye njia za Daladala ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa routes na kufunguliwa kwa maeneo mapya. Mkuu wa Mkoa ni msimamizi au Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa Mkoa.

Suala la Maji wapi yaende, barabara ipi ipewe kipaumbele kwenye ujenzi waamuzi ni Madiwani kupitia mabaraza yao.
 
Mwanza ina shida kubwa ya Maumbile ya Ardhi yaani Milima, Uwepo wa Ziwa Victoria na Hivyo eneo kubwa ni Bonde la Kilimo cha Mpunga/Tope na hatimaye inakuwa ngumu sana kwa Ujenzi wa Miundombinu ukiweka na Changamoto ya Ujenzi holela kutokana na Ubovu wa Kitengo cha Mipango Miji. Kubali kataa eneo lote la Kirumba halifai kwa Makazi maaana ni bondeni palipokuwa pakilimwa Mpunga, Nenda Kisesa, Buhongwa, Airport huko mpaka Kayenze ardhi tope tope tu.
Tukubali kwamba Ilikosewa Tangu Ukoloni kuweka Mji katika eneo hilo kwa uwezo wetu wa Technolojia na Kiwango chetu cha Uchumi. Ilitakiwa Mwanza pawe na Boats, pawe na Barabara za Chini ya Milima na Chini ya Ziwa lkn waaaapi!
Tuvute subira huenda miaka 50 ijayo watoto wetu wanaosoma China leo watafanya mapinduzi ya Miundombinu.
Broo hii ni kweli lakini hii sioo changamoto tena kaka....kutoka Kishili mpk buhongwa hkn mlima hata mmoja, kutoka airport kuja Bugando mtu analazimika kupanda magari mawili barabara ipoo hiii vipi kutoka Kishili, kisesa, bwiru, nyamong'holo busweru kuja Bugando pia kuna changamoto ya milima..?? Vipi kutoka kishili mpk igombe pia kuna changamoto ya milima, Butimba kwenda kishili au Maduka Tisa kuna Milima....???.....sioo kila anayeleta mgonjwa Bugando ana afford taxi....
 
Nimekuwa nikiwafatiliaa wakuu wa mikoa na utendaji wao, Nimejiridhisha kuwa wakuu wa mikoa wana michango mikubwa katika maendeleo ya mikoa mfano Mkuu wa mKoa wa Simiyu...
Kingine cha Ziada ambacho ndo lengo la Mada yangu wakuu wa mikoa wanahusika pakubwa katika kuichangamsha mikoa yao, Wakazi wa Dar Es Salaam nafkiri hapa mtakuwa mnanielewa toka Aondoke MAKONDA mkoa umedolala, hatusikii tena habari Za Dar, Dar haina utofauti na Dodoma...

Nirudi kwenye mkoa wangu wa Mwanza unazidi kukosa mvuto kwa sababu tu tuna mkuu wa mkoa ambaye amelala Sana..

Jiji la pili kwa ukubwa Nchini....

Ubunifu wa Route za daladala achilia mbali Barabara za kuliunganisha jiji tuu ni Kasheshe....uwa najiuliza kuna ulazima mtu anayetoka bwiru kwenda Kisesa apitie mjini, mtu anayetoka Kishili kwenda Nyashishi kwanini apite Mabatini, Mkuyuni....Anayetoka Buzuruga kwenda Buhongwa kwanini Apitie Mjini, ayaa anayetoka Kisesa kwenda Usagara kwanini Apitie Mjini, Kichekesho pamoja na Mwanza kuwa na Hospital kubwa Nyuma ya MUHIMBILI, hakuna ruti ya Daladala ya kutoka popote kwenda hospital pale, si usagara, si airport si kisesa...

MWANZA ROUTE ZA DALADALA NI MBILI TU; KISESA - AIRPORT na KISESA NYANSHISHI ...safari ya dk 20 inakuchukua mpaka saa 1 na nusu Bila Sababu....kuna maeneo mengi mapya lakini huduma za barabara ni changamoto....mfano...

Kisesa, Nyamong'oro, Kishili, Nyasanka Msumbiji, Igombe, TX, Shibula, Mihama, Maduka Tisa, Nyamadoke, Machinjioni, ISEBYA, MAHINA, NYANGOMANGO, LUCHELELE, BULALE, NYANSHISHI
....AYA MAENEO YAKIUNGANISHWA KWA BARABARA MWANZA ITAPIGA HATUA SANA...

KINACHOSIKITISHA HATA VITUO VYA DALADALA ZINAPOISHIA PIA NI CHANGAMOTO IWE PEMBENI YA MJI AU HATA MJINI KATIKATI

KINGINE MWANZA KAMA JIJI TAA ZA BARABARANI NI CHANGAMOTO BARABARA YA AIRPORT KUANZIA KLINIKI MPAKA MWISHO NI GIZA TUPU, BARABARA YA MJINI BUHONGWA GIZA TOTORO....BARABARA KALIBIA ZOOOOOTE GIZA TU.....MPK MJINI KATI BARABARA GIZAAAA....

KIFUPI MWANZA TUPATE MKUU WA MKOA MBUNIFU MJI UTASOGEAA TUPEWE MAKONDA,CHALAMILA, ALLY HAPI, MTAKA MJI UTACHANGAMKA HUUU.....

NAWASILISHA
KASULI
MWANZA IGOMBE
Uko sawa kabisa. Yaani kutoka Kisesa hadi Bugando hospital ni Tsh 900 km 20, na mtu anayetoka Buzuruka hadi Bugando analipa Tsh 800 km 5.
 
Mwanza ina shida kubwa ya Maumbile ya Ardhi yaani Milima, Uwepo wa Ziwa Victoria na Hivyo eneo kubwa ni Bonde la Kilimo cha Mpunga/Tope na hatimaye inakuwa ngumu sana kwa Ujenzi wa Miundombinu ukiweka na Changamoto ya Ujenzi holela kutokana na Ubovu wa Kitengo cha Mipango Miji. Kubali kataa eneo lote la Kirumba halifai kwa Makazi maaana ni bondeni palipokuwa pakilimwa Mpunga, Nenda Kisesa, Buhongwa, Airport huko mpaka Kayenze ardhi tope tope tu.
Tukubali kwamba Ilikosewa Tangu Ukoloni kuweka Mji katika eneo hilo kwa uwezo wetu wa Technolojia na Kiwango chetu cha Uchumi. Ilitakiwa Mwanza pawe na Boats, pawe na Barabara za Chini ya Milima na Chini ya Ziwa lkn waaaapi!
Tuvute subira huenda miaka 50 ijayo watoto wetu wanaosoma China leo watafanya mapinduzi ya Miundombinu.
Palipo na pesa mlima sio changamoto suala ni kwamba huduma kwa wananchi kwao sio kipaumbele chao. Kama milima na mabonde ni kikwazo mbona Daraja la Busisi limewezekana?
 
Hapa ni kumbebesha lawama Mkuu wa Mkoa ambazo hata hazimhusu. Tatizo lipo kwa wakurugenzi wa Jiji na Manispaa ya Ilemela pamoja na Mabaraza yao ya Madiwani. Ila naimani miaka hii mitano yatafanyika makubwa kwenye njia za Daladala ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa routes na kufunguliwa kwa maeneo mapya. Mkuu wa Mkoa ni msimamizi au Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa Mkoa. Suala la Maji wapi yaende, barabara ipi ipewe kipaumbele kwenye ujenzi waamuzi ni Madiwani kupitia mabaraza yao.
Mkuu wa mkoa ni msimamizi wa mkoa katika mambo yahusuyo serikali na ustawi wa raia katika mkoa husika, tumekuwa tunawaona wakuu wa mikoa wakisimamia, stand, madaraja, matokeo ya wanafunzi, ujenzi wa miundo mbinu, masoko, jana Huyo huyo alokuwa kwenye tukio la kuungua moto kwa bweni la shule ya Loleto....huyu ni commissioned officer Rais mwnywe anasimamia wapi barabara iende, wapi maji yaende ije iwe mkuu wa mkoaa....huyuu anapaswa kuagiza watendaji wapo Lakini inaonekana hata kuzungukia mkoa wake kujionea matatizo muda hana....
 
Wanaopanga mapato na matumizi ni baraza la madiwani, baraza ambalo Mkuu wa Mkoa hata huwa hayumo zaidi ya Mbunge. Mkuu wa Mkoa ni kusimamia utekelezaji wa kilichoamuliwa na kupitishwa na baraza la madiwani tu. Hasa likiwemo suala la matumizi salama ya pesa za serikali kwenye miradi ya Halmahsauri husika.
 
Uko sawa kabisa. Yaani kutoka Kisesa hadi Bugando hospital ni Tsh 900 km 20, na mtu anayetoka Buzuruka hadi Bugando analipa Tsh 800 km 5.
Mtu yuko mabatini hapo inambdi ili akamuone mgonjwa Bungando analazimika kupanda daladala mbili au zile taxi bubu tsh 900 km 1 au 2....kumbe ni rahisi tu angekaa pale mabatini akasubiri gari zinazotoka kisesa kwenda Bugando akazama ndani mpk Bugando 400
 
Back
Top Bottom