Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,276
- 17,983
Acha kudanganya wewe nani kakwambia shia ni waislamu!
Una maana Sunni ndio waislamu pekee? Kama hujui kitu bora unyamaze. Mimi sio muislamu lakini naelewa fika kuwa katika uislamu kuna madhehebu ya Sunni (Mf. Saudi Arabia) na Shia (Mf. Iran).