Mkoa wa Mbeya ndio nchi ya ahadi?

Mkoa wa Mbeya ndio nchi ya ahadi?

kama hujawahi kuishi mbeya unaweza ukafikiri hivyo...
kuna mtaa unsitwa Nzovwe ni full makanisa tena mengi yapo kwenye nyumba za watu, vikanisa vingi sana .....
mi nahisi mbeya waliishaona dili kwenye biashara ya dini maana kila mtu alijisikia ye anahama kanisa lake na kuanzisha la kwake na cha kushangaza mbeya kuna ushirikina sana sio mjini wala kijijini yani kote so taasisi za dili ni nyingi lakini watu wa dini ni wachache.
 
Hivi bado mbeya kna wale wanaoitwa wanyambuda
 
Sadaka zaidi ya 5 huu ni wizi,mpaka watakapo punguza idadi ya sadaka ndio nitaanza kwenda vinginevyo siend kanisani na Peponi 100% nitaingia
 
Ukiona hivyo basi ujue ushirikina nao mwingi hivyohivyo..
 
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya mkoa wa Mbeya.,nimebahatika kutembea zaidi 75% ya mikoa ya Tanzania lakini ni mkoa wa Mbeya tu ndipo nilipokuta wingi wa makanisa ya watu binafsi pamoja na "maaskofu na manabii" waliojipachika status hizo wenyewe.

"Maaskofu na manabii" wengi tunaowasikia leo hii hapa Tanzania ni watu wenye asili ya mkoa wa Mbeya, kwa uchache tu hebu angalia hawa wafuatao;

Nabii Lusekelo "mzee wa upako"
Mchungaji Mwakasege

Mchungaji Bukuku
Askofu Mwasota
Na hivi karibuni ameibuka "babu" Mwasapile.,list ni ndefu sana...

Ninachojiuliza ni kwamba wingi wa makanisa haya unamaanisha kuwa mkoa huu ndio wenye wacha Mungu sana au ndio ile nchi ya ahadi tunayoisikia tu na pengine Masia akirudi anaweza kufikia Mbeya.
Lusekelo ni mchungaji
na Mwakasege ni Mwalimu
 
Mbeya ni ukanda wa wakristo,kuna wakristo wengi kuliko dini zingine,sawasawa na wingi wa misikiti,katika mikoa ya pwani.
 
Inavyoonyesha ni kwamba Ukristo uliwahi kufika Mbeya na mbali ya kuwahi kufika pia watu wa huko waliupokea Ukristo kwa hamasa kubwa na hata wanaozaliwa miaka hii nao wana hamasa kubwa ktk kuupokea na kuuishi Ukristo,lkn suala la Masihi kufikia Mbeya hilo si juu yetu wala yao bali ya Mungu mwenyewe.
 
kama hujawahi kuishi mbeya unaweza ukafikiri hivyo...
kuna mtaa unsitwa Nzovwe ni full makanisa tena mengi yapo kwenye nyumba za watu, vikanisa vingi sana .....
mi nahisi mbeya waliishaona dili kwenye biashara ya dini maana kila mtu alijisikia ye anahama kanisa lake na kuanzisha la kwake na cha kushangaza mbeya kuna ushirikina sana sio mjini wala kijijini yani kote so taasisi za dili ni nyingi lakini watu wa dini ni wachache.

dah! cjui lkn,ngoja nikafanye utafiti.
 
Mbeya ni ukanda wa wakristo,kuna wakristo wengi kuliko dini zingine,sawasawa na wingi wa misikiti,katika mikoa ya pwani.

kweli kabisa tena kwa Tz,Mbeya inaweza kushika nambari moja kwa kuwa na makanisa mengi.
 
Usipate taabu pia jiulize haya.. mchele mzuri zaidi ni wa Mbeya, maharage mazuri yanatoka mbeya.. watu makini wanatoka mbeya.. mfano.. Dr steven ulimboka.. David Mwamunyange. Harison mwakyembe.. Ongeza wachezaji mpira maarufu unaowafahamu. Waimbaji maarufu unaowafahamu. Na mengineyo kifupi Mbeya is the best katika mikoa ya Tz.
 
Back
Top Bottom