Mkoa wa Mbeya ndio nchi ya ahadi?

Ni kwa sababu MBEYA tuenda na matukio na si kwa akili zetu hebu angalia mwitikio wa vyama vingi kwa sasa hakuna chama hakina mfuasi mbeya

Mkuu sina uhakika kama Agizo la Chama Tawala,kina wafuasi
 
Makanisa kibao na walokole kibao na gesti kibao j,2 gesti zote zinajaa mida ya 5-9
 
Imani yangu na yako ni tofauti, hata nikianza kukuelekeza itakua ni kupoteza mda.

Ila kama uko tayari kua imani moja na mimi sawa nitakuelekeza .

Matusi yanatoka wapi sasa, Ni mimi ndio nimeanza kuku-quote, naomba uniambie mungu wa yesu ni yupi wakati yesu mwenyewe mnamwita mungu?,
 
Imani yangu na yako ni tofauti, hata nikianza kukuelekeza itakua ni kupoteza mda.

Ila kama uko tayari kua imani moja na mimi sawa nitakuelekeza .

Sasa kwani kuna shida gani, ndio nataka unieleweshe, kwani dini sio jambo la kurithi kutoka kwa mama, baba au babu kama unavyofikiri.
 
Wanabodi,

Kwanza naomba nisieleweke kuwa sina nia mbaya na hayo Makanisa, bali naomba kujua nini hasa chanzo cha mkoa wa Mbeya kuwa na Makanisa mengi ya waumini wa madhehebu ya dini. Pia hata waimbaji wengi wa nyimbo za Injili wanatoka mkoani Mbeya, hivi nini chanzo?

Elimu haina mwisho..

Mimi ninaishi Uyole Mbeya naomba nichangie kidogo:
Kulingana na mtafiti mmoja wa radio EBONY ya iringa alifanya utafiti mbeya na akagundua vitu viwili ndivyo sababu hasa ya Mbeya kuwa na makanisa na waimba injili wengi:
1. Vijana wengi wa kinyakyusa wanapenda sana UTANASHATI na mavazi ya kuulamba yaan suti suti na tai hvyo kazi rahisi inayoendana na suti suti ni uinjilisti na kuhubir neno badala ya shamba au udereva au ukonda au sokoni nk. Hvyo huanzisha makanisha na kuwa wachungaji kutimiza hobby yao ya kupiga suti
2. Watu wengi wa mbeya hawana msimamo,wanayumbishwa kirahisi hvyo watu wengi hutumia hyo opportunity kuanzisha kanisa akiamin ni rahisi kupata waumini maana ukiwashawishi kidogo tu washabadili na kuwa kondoo wako. Hili linajidhihirisha hata kweny mambo ya kishirikina yaan mganga akifika huko na kuwashawishi kidogo tu kuwa let say matiti ya binadam ni dili yatakufanya uwe tajir nk basi watauana sana kuyasaka matiti hayo.
Pls huo ni utafiti wa mtangazaji wa ebony FM iringa anaitwa Robson hvyo nisirushiwe mitusi
 
Wanabodi,

Kwanza naomba nisieleweke kuwa sina nia mbaya na hayo Makanisa, bali naomba kujua nini hasa chanzo cha mkoa wa Mbeya kuwa na Makanisa mengi ya waumini wa madhehebu ya dini. Pia hata waimbaji wengi wa nyimbo za Injili wanatoka mkoani Mbeya, hivi nini chanzo?

Elimu haina mwisho..
Tuambie Kosa lipo wapi kuwa na Makanisa mengi?
 
Wanabodi,

Kwanza naomba nisieleweke kuwa sina nia mbaya na hayo Makanisa, bali naomba kujua nini hasa chanzo cha mkoa wa Mbeya kuwa na Makanisa mengi ya waumini wa madhehebu ya dini. Pia hata waimbaji wengi wa nyimbo za Injili wanatoka mkoani Mbeya, hivi nini chanzo?

Elimu haina mwisho..

makanisa mengi na uzinzi mwingi

kagera nikinyume kule gesti nyingi makanisa machache noma cn asee
 
Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo) na Mungu Roho Mtakatifu.
Mungu ni mmoja, ila anatenda kazi kama Mungu Mwana( Kuukomboa ulimwengu na dhambi zake na kurudisha mamlaka kwa mwanadamu).
Mungu Roho Mtakatifu ( Ni msaidizi kwa wale wote walio mkiri na kumpokea Kristo kua mwokozi wa maisha yao, yaani Roho wa Mungu akae ndani yetu, Roho Mtakatifu hutenda kazi na nimsaidizi kwa wale wote waamin kwa kuwasaidia katika yale ambayo kibinadamu ni ngumu kuyaweza).

Mfano wewe hapo uwe CEO wa company X.
Je hauwezi fanya kazi kama Branch Manager au Mshauri ili kuifanya company X kufanikiwa ingawa u CEO?
Na je ukifanya ivyo u CEO wako unafutika ?

Sasa kwani kuna shida gani, ndio nataka unieleweshe, kwani dini sio jambo la kurithi kutoka kwa mama, baba au babu kama unavyofikiri.
 
Back
Top Bottom