Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Aise Mbeya 'kila mtu'ni mlokole.Sijui kuna kitu gani
Mkuu ndio maana niliomba kwa mwenye uelewa juu ya hilo atujuze kwani naamini hapa jf,kuna watu wenye uelewa wa mambo mbalimbali
Aise Mbeya 'kila mtu'ni mlokole.Sijui kuna kitu gani
The Green City. Dah Nimemiss sana Mbeya. Umenikumbusha mtoa mada.
Humu hutopata jibu.
Unatakiwa ummulize Mungu ndie atakupa majibu sahihi.
Aise Mbeya 'kila mtu'ni mlokole.Sijui kuna kitu gani
Karibu sana hapa city pub mzee
Ukitoka hapo usisahau kupitia cannival!
Mkuu sukuwa na nia mbaya kabisa kwani mbeya ndio nyumbani,nilitaka kujua sababu
huko kuna uhamsho sana wa kiroho na watu wanampenda. na sisi iyo ndo tunayoitaka, hata ww unaweza kuanzisha tu, mm mwenyewe ndo natarajia kufungua iringa.
Ni kutafuta ulaji tu kupitia sadaka!!!!!
jamani ni jambo jema tena la kufurahia, ww mwenyewe ni mkristo lkn hauendi knsn. na iyo inatoka na ni nani anaetawala ktk ulimwengu wa roho, kwa iyo hata ww unaweza kuanzisha lako
Karibu sana hapa city pub mzee
He CITY PUB tena sio makanisa