Mkoa wa Mara kulikoni, serikali imeusahau?

Fanyeni kaz achen kulalama kama mademu na kumusingizia mwenye heri nyerere mwachen apumuzike

Maendeleo yanaletwa kwa kufanya kaz wala siyo kulalama lalama
Ukweli hata kama ni mchungu lazima tuuseme.
Watu wa Kanda ya Ziwa wana nguvu na hawaogopi kaza. Watu dhaifu na wanakotoka.
 
Fanyeni kaz achen kulalama kama mademu na kumusingizia mwenye heri nyerere mwachen apumuzike

Maendeleo yanaletwa kwa kufanya kaz wala siyo kulalama lalama
Ukweli hata kama ni mchungu lazima tuuseme.
Watu wa Kanda ya Ziwa wana nguvu na hawaogopi kaza. Watu dhaifu wanafahamika na wanakotoka.
 
Back
Top Bottom