Pole sana,lakini ukweli ni mikoa mingi,mimi niko Iringa sijamuona wala sijasikia kama kapita kwenda Mbeya.Almost yote isipokuwa Mkoa wa Mara
Kuliko Wachaga? Wachaga wanaiba kwa silaha za aina mbali mbali, ufisadi na rushwaUsiulaumu mkoa wa mara laumu watu wake ni wez baraa yaan hawajitambui kabisa hawa watu kazi kuibia watu pasipo kufanya kazi mfano sahara wakurya wamejaa ni vibaka wa kutisha hawa watu
Huo ni wizi mzur sana na wa akili,Kuliko Wachaga? Wachaga wanaiba kwa silaha za aina mbali mbali, ufisadi na rushwa
Unataka ziara za viongozi wenu hao waropokaji ili iweje? Sisi watu wa Mara huwa hatuvumilii kauli za kipuuzi wakija huku wasiongee kauli zao za kibabe tutawanyoosha.Mkoa wa Mara alitoka Baba wa Taifa, ingawa ni Mkoa ulioko nyuma kimaendeleo.
Katika awamu hii bado sijasikia kiongozi wa serikali walau akiwa ziarani huko na walau kutoa ahadi ya kimaendeleo kwa mkoa. Mkoa unahitaji maji kwenye wilaya zote, barabara, uboreshaji wa elimu na afya, eneo la epz, umeme
Mara hatuna upuuzi wa kahawa but wao viongozi wanaogopa mara kwani ukiongea Mambo ya kijinga hstujali cheo chako tunakunyoosha. Sasa wameona kwa maneno yao yasiyo na staha na yenye udanganyifu mwingi waishie kwa wasukuma.Daaa! Wao kwenye vijiwe vya kahawa kutwa siasa tu! Badilikeni ndugu zangu!
Watu wa Mara wanahitaji majibu ya maswali yao, kama mkuu wa kitengo toa majibu ili sie wengine tuache kukatisha tamaa la sivyo majibu yetu yataendelea kuwa majibu mujarabuAcha kukatisha tamaa namna hiyo
Uchaguzi ukiisha visasi vinaachwa.Nyie si ndo mlideki barabara!!!