Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,816
- 44,617
HakikaMuache kupiga wanawake pigeni kazi...tafteni ubabe wa kiviwanda na hasira za maendeleo. Serikali haitoondoa umaskini Mara bila wamara mwenyewe.
HakikaMuache kupiga wanawake pigeni kazi...tafteni ubabe wa kiviwanda na hasira za maendeleo. Serikali haitoondoa umaskini Mara bila wamara mwenyewe.
Ndiyo shida ya watu mnaodhani Mara ni Musoma mjini tu. Serengeti, Bunda, Tarime, Kiabakari(?), Rorya nk kumbe ni wanywa kahawa!Daaa! Wao kwenye vijiwe vya kahawa kutwa siasa tu! Badilikeni ndugu zangu!
Ndugu yangu wamejaa lakin hawana uwezo wa kuwekeza maana wengi wao ni machinga wa kutembeza mashuka na vyombo unamukuta mkurya baba mzima kabeba vibanio anatembeza yaan had huruma aiseetatizo sio serikali mnalaumu serikali bure nyie wenyewe hamtaki kuwekeza kwenu, kwa mkoa ulio mpakani, wenye ziwa kubwa victoria, mgodi wa dhahabu na mbuga kubwa serengeti hali iliyopo inasikitisha sana.Mwanza mjini wamejaa watu wa mara na watu wa mara ambao wana uwezo mkubwa huku dar lakini wameshindwa kuwekeza kwao ni wengi sana badilikeni acheni kulalamikia serikali
Mbona bunda pale wenye maendeleo ni wasukuma wala sio watu wa musoma selengeti nayo wamevamia wasukumaNdiyo shida ya watu mnaodhani Mara ni Musoma mjini tu. Serengeti, Bunda, Tarime, Kiabakari(?), Rorya nk kumbe ni wanywa kahawa!
Labda wameiga kilichofanyika hapa Dar, maana mara zote marais wa Marekani walipokuja hapa lami zilidekiwa! Punguza chuki zisizo na maana, ni hatari kwa afya yako.Jitambueni kwanza Kudeki LAMI Kuliwashusha sana CREDIT, Mlifanya jambo la ajabu sana
Unamaanisha nini unaposema siyo watu wa Musoma? Kwa hiyo hili jibu lako limedhibitishaje kuwa watu wa Mara kazi yao ni kunywa kahawa kama post niliyoijibu ilivyodai? Una habari kuwa wilaya ya bunda inahusisha maeneo ambayo ni ya wasukuma tangu zamani? Kwa mtazamo wako huu, ukiwa pale Mwanza mjini matajiri wote ni wasukuma?Mbona bunda pale wenye maendeleo ni wasukuma wala sio watu wa musoma selengeti nayo wamevamia wasukuma
Yaani kiukweli wakurya ni akili ndogo balaaKwa kifupi watu wanaotuabisha kanda ya ziwa ni wakurya mkoa wa mara unazidiwa na kahama na geita haya ni majanga aisee
Kumbe 'malaika' ni mkurya! Kwa taarifa yako, katika mkoa ule wakurya hasa wako Tarime na Serengeti, Sasa nenda ukatafute katika mkoa wa Mara ni wilaya zipi ziko vizuri!Ile kiburi, hasira na Roho za wakurya zinawanyima mengi kwani wanaonekana kama si wanadamu.
No hujanielewa kaka namanisha kwa pale bunda mjin wenye maendeleo ni wasukuma wala sio wakurya au waikizuUnamaanisha nini unaposema siyo watu wa Musoma? Kwa hiyo hili jibu lako limedhibitishaje kuwa watu wa Mara kazi yao ni kunywa kahawa kama post niliyoijibu ilivyodai? Una habari kuwa wilaya ya bunda inahusisha maeneo ambayo ni ya wasukuma tangu zamani? Kwa mtazamo wako huu, ukiwa pale Mwanza mjini matajiri wote ni wasukuma?
Tarime kuna maendeleo gan kaka unaweza kulinganisha na wilaya ya kahama au wewe ni wa wapi serengeti yale majengo ya akina mkapa nayo unazan ni yawatu wa msomaKumbe 'malaika' ni mkurya! Kwa taarifa yako, katika mkoa ule wakurya hasa wako Tarime na Serengeti, Sasa nenda ukatafute katika mkoa wa Mara ni wilaya zipi ziko vizuri!
Jibu ni kwamba, majungu huko ndio kwao!Kwa upande wa elimu Mara wajilaumu wenyewe kwa kuendekeza kukaririsha wanafunzi,aliyefeli f2 anarudia la tano,aliyefeli f4 anarudia la 7,alifeli la 7 anarudia la 6La7 matokeo yake madarasa hayafundishiki,mwl yeyote akihoji,anaadhibiwa na afisaelimu,anatishwa na wazawa,akitokea afisaelimu sio mzawa akawa mkali wazawa wanamfanyia visa,anaondoka badilikeni,